Home
Unlabelled
kp eapoti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hebu niweke wazi...ina maana na Fina nae alikuwepo???!!! manake huyu kipanya mtata sana...sometyms hua simwamin, hebu weka bayana bro!!!
ReplyDeleteyaani KP anasema kwamba "gazunga" ya Richard ina market kubwa TZ...
ReplyDeletenimemiss sana power breakfast nisikie Masoud na Fina wakifanya vitu vyao
ReplyDelete...mbavu sina ,angalieni kipanya kinavyotoka jasho kwa kuchapa hizo ngoma
ReplyDeleteNdugu yangu hilo si jasho hilo ni kojo la hasira baada ya kukaa masaa yote airport na kupiga ngoma harafu hata waliomngojea hawakumuona kapitishiwa mlango wa chooni, ndiyo maana kipanya kakojoa kwa hasira, hahahahaha
ReplyDeletehahahahahah! jamani mieee mabvu yaani huyo kipanya hakuwa hata na usingizi kwa jinsi alivyompania richard. sasa na fina je?
ReplyDeleteSi jasho ala kojo! Siku hiyo kulikuwa na mvua!
ReplyDelete