Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi hebu niweke wazi...ina maana na Fina nae alikuwepo???!!! manake huyu kipanya mtata sana...sometyms hua simwamin, hebu weka bayana bro!!!

    ReplyDelete
  2. yaani KP anasema kwamba "gazunga" ya Richard ina market kubwa TZ...

    ReplyDelete
  3. nimemiss sana power breakfast nisikie Masoud na Fina wakifanya vitu vyao

    ReplyDelete
  4. ...mbavu sina ,angalieni kipanya kinavyotoka jasho kwa kuchapa hizo ngoma

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu hilo si jasho hilo ni kojo la hasira baada ya kukaa masaa yote airport na kupiga ngoma harafu hata waliomngojea hawakumuona kapitishiwa mlango wa chooni, ndiyo maana kipanya kakojoa kwa hasira, hahahahaha

    ReplyDelete
  6. hahahahahah! jamani mieee mabvu yaani huyo kipanya hakuwa hata na usingizi kwa jinsi alivyompania richard. sasa na fina je?

    ReplyDelete
  7. Si jasho ala kojo! Siku hiyo kulikuwa na mvua!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...