Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndiyooo! kwa nini usubiri ufe nalo? Idrisa mjanja hawamvishi mkenge.
ReplyDeleteJamani Idrissa alikuwa mkali na ana uchungu na Tanesco anataka ijiendeshe kibiashara sio kisiasa. Mwenyekiti wa Board ya Wakurugenzi wa Tanesco (Balozi Fulgence Kazaura) na Waziri Karamagi wana hisa Tanga Cement ndio maana waliamuru haraka umeme urejeshwe japokuwa hao jamaa wanadaiwa mabiliioni ya malimbikizo ya bili za umeme.
ReplyDeleteSasa dondoo ni kwamba JK amekataa kujiuzulu kwa Idrissa na badala yake amemfukuza huyo Mwenyekiti wa Bodi (Balozi Kazaura) na kumpa Idrissa Rungu kubwa. Yaani kwa sasa Idrissa ndio MD na ndio Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. Kwa hiyo hiyo ni warning toka kwa Raisi mwenyewe kwa Bwana Karamagi kuwa kama ataingilia tena utendaji wa Idrissa hata yeye anaweza kuondolewa hiyo wizara ya Nishati.
BIG UP JAKAYA KIKWETE
BIG UP IDRISSA RASHIDI
KWA MWENDO HUU TUTAFIKA TU
Masoud baada ya DR kuamua kurudi, inabidi uchore tena ukionyesha mzee anadandia tena mkweche wake...au labda breki zilijamu tu...ila naona mashine imeshakamata kasi ya kushuka mlima...
ReplyDeleteMasoud jana yule mtoto aliyekuwa anakuoji kwenye kipindi cha face2face cha channel 10 alikuwa anashoboka sana...kwa tunaowajua dada zetu tunaelewa kabisa kuwa pale kijana ukitaka ni kama unamsukuma mlevi vile..baada naona demu alikuwa hadi analegea kabisa...
kazi kwako KP, bongo ukiwa maarufu ni soo...hili analijua sana michuzi...
Mbona nasikia kishalirukia tena, baada ya kuona kasahau pochi yake ndani. Sasa sikjui ataenda nalo mpaka wapi au kaamua kama kutumbuakia nalo atumbukie nalo tu, maana nasikia sharti la pochi yake ni kwamba lazima awe ndani ya hilo ndio inatumika akitoka anaiacha humo humo.
ReplyDeleteKP-- that is inconceivable. Very innovative cartoon!
ReplyDeleteWeeeeee...tambarare mwanangu.... sio tu breki na msukano umikatika.... inshu ni kwa raia waliowengi huko mbele....kaaazikwelikweli....
ReplyDeleteHongera mzee wetu mhishmiwa Balozi Ka*auraz... Uzi huohuo mpaka kieleweke.... kunywa wanywe wao...walewe...halafu sisi wana-nji tulipe kaunta... Hamna kitu bwana....
Kwa viwango vyovyote mhesimiwa dk mkurugenzi umechemsha. Umetoa suluhisho la shirika lako kwa kukwepa kuwajibika na badala yake ukajaribu kama ilivyo kawaida yenu kutubebesha watanzania choka mbaya. Tuwapongeze sana wajumbe wa Bodi yako na hususan mwenyekiti kwa ku-kugomea machoni pendekezo lako. nilidhani ungekuwa muungwana sana ukajiuzulu kabla ya kujaribu hila zako. Muogopeni Mungu wapendwa.
ReplyDeleteWatanzania tuacheni kusema sema hovyo bila kujua habari kamili na dondoo zake. Uswahili huu utatuumiza.
ReplyDeleteSehemu nyingine ushikaji inabidi uwe pembeni, kwa nini ishue kama hizi nyeti Raisi asiende front mwenyewe akishirikiana na wataalamu wetu nadhani iko siku na sisi wananchi tutachoka halafu itakuwa balaa
ReplyDelete