makao makuu mapya ya wizara ya maliasili na utalii barabara ya nyerere (zamani pugu) rodi karibu na njia panda ya kwenda chang'ombe yanakaribia kumalizwa kujengwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi si wanadai wanahamishia makao makuu ya serikali Dodoma? Mbona wanazidi 'kufyatua' majengo mapya ya wizara jijini Dar es Salaam? Si waseme tu mpango wa kuhamia Dodoma umeshazikwa! Waache unafiki!

    ReplyDelete
  2. Jengo bayaaa...colour zake hazifutii bwana.

    ReplyDelete
  3. vioo, haya ndio yaleyale......tuwaulize wazee wa wizara ni kiasi gani kimetumika kwa kila mita ya mraba utasikia majibu, yaleyale ya "twini tawaz"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...