WADAU. AWALI YA YOTE KUNRADHI KWA PICHA HIZI AMBAZO HUENDA ZISIPENDEZE MACHONI MWA WENGI. LAKINI NI KUDRA YA MWENYEZI MUNGU.
NI KWAMBA MDAU IMMANUEL NKYA ANAOMBA MSAADA WA PESA KUGHARAMIA MATIBABU YA MTOTO WAKE HUYU AMBAYE KILA SIKU HALI YAKE INAZIDI KUWA MBAYA NA ANAHITAJI MATIBABU YA HARAKA KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA HUKO INDIA.
MDAU NKYA ANAOMBA MSAADA WA PESA HIZO UPITISHWE Postal Bank account no. 010- 00012466 YA DAR NA ANATOA AHSANTE ZAKE KWA WASAMARIA WEMA WATAKAOMSAIDIA. CHINI NI WARAKA TOKA KWA BABA WA MTOTO NA MWINGINE TOKA KWA DAKTARI BINGWA ALIYEKUBALI KUMHUDUMIA MTOTO HUYU AMBAYE NI WA KIUME
------------------------------------------------------------------------------------------------
1. Please go through the below attachement to know the costs of the surgery,the name of the hospital,the doctor and the disease.
2. The date to conduct the surgery will depend on availlability of enough funds.But let us dream of end of December 2007.
3. The cause of anomality was a drug (Ampiclox) reaction.
4.This problem started on 2004.Doctors played their best and manage to treat the wound.Also did stage one reconstruction and change the situation as can be seen today.Now he is involved in major reconstructive surgery which is aiming at restoring his normal facial expression.
5.Chances to succes is 100% as per Dr.Sitaram Prasad.
6.So far we have managed to get air ticketes for baby and accompanying parent.Some few Good Samaritans have responded and about US$1,300 has so far been raise. We wish to extend our heartfelt thanks to all who have responded so far.
7. You can send your donation through:
2. The date to conduct the surgery will depend on availlability of enough funds.But let us dream of end of December 2007.
3. The cause of anomality was a drug (Ampiclox) reaction.
4.This problem started on 2004.Doctors played their best and manage to treat the wound.Also did stage one reconstruction and change the situation as can be seen today.Now he is involved in major reconstructive surgery which is aiming at restoring his normal facial expression.
5.Chances to succes is 100% as per Dr.Sitaram Prasad.
6.So far we have managed to get air ticketes for baby and accompanying parent.Some few Good Samaritans have responded and about US$1,300 has so far been raise. We wish to extend our heartfelt thanks to all who have responded so far.
7. You can send your donation through:
1.Imanuel Nkya(Parent) Cell - + 255 713 616126
+ 255 786 616126
2.David Sawe (President Office-PublicService Management
Tel.022 2134615,Cell - + 255 754 782175
3.Ipp Media ( ITV &The Guardian )
4.Athumani Hamis ( Daily News $Habari Leo) Cell - + 255 784 531188
+ 255 713 331188.
Kindly accept my best wishes in your continued good health and prosperity.
Thanks in advance,
Imanuel Nkya
Dear Mr.Imanuel,
Please find below the opinion of Dr.Sitaram Prasad.
Quote
Dear Mr. Imanuel,This is Dr. Prasad from Wockhardt Hospital. I have seen thephotographs of your child. Your child has most likely suffered from acondition called Cancrm Oris. This is a disease that destroys alltissue that it infects. The defect that it has left behind requiresmultiple reconstructive procedures.
Please find below the opinion of Dr.Sitaram Prasad.
Quote
Dear Mr. Imanuel,This is Dr. Prasad from Wockhardt Hospital. I have seen thephotographs of your child. Your child has most likely suffered from acondition called Cancrm Oris. This is a disease that destroys alltissue that it infects. The defect that it has left behind requiresmultiple reconstructive procedures.
We start by replacing all the skinand inner lining (mucosa) that has been lost in the disease process.One of the options we have is to do a microvascular flap. Whatever hasto be done, it will have to be planned carefully, keeping bothcosmesis and the child's future growth in mind. This is one reason why I have suggested to saurav (our International Marketing Manager to send you the estimate for a level 7 surgery.
Once I have examined thechild both by photographs and physically I may change my plans anddowngrade the level of surgery. I thought I would communicate with youdirectly, since we would require to exchange views and communication.YOu may please mark a copy of each of your communication to me toSaurav as wellSinc,Dr. Prasad Unquote
As per the opinion above by Dr.Sitaram Prasad , the estimated package cost for the surgery would be 10200 USD for a stay up to 20 days in a private room, where a companion can stay with the patient.
Our Package Cost includes the following additional services besides the cost of the tests and procedures mentioned above: -
(i) Internal transfers by AC Car to and from the Hospital to Bangalore international Airport on arrival/ departure
(ii) Initial consultation with the Surgeon/ Physician on arrival at the hospital
(iii) Standard pre-surgery tests, including X-rays, scans, as required
(iv) Standard pre / post surgery medication
(v) Stay in an AC room for the number of days indicated against the package. One companion can also stay with the patient in this room, which is equipped with Colour TV, connected to Cable.
(vi) Our Guest relations officer provides priority facilitation to overseas patients during their stay at the hospital.
(vii)A comprehensive written medical report before discharge
(viii) A personal dietician who will advise the patient throughout the stay and advise F& B to serve from a special international menu of food and beverages for the patient.
(ix) Post discharge consultation if required after patient's return to his home by email/ telecalling ( review of scans or X Rays, telephonic consultation, etc. )
(x) We accept International Master Visa Credit Card and provide Currency Exchange facility in the hospital.
(xi) Daily E mail updates to the referring doctors and the patients family.
Once you decide to come, we will send you a letter that will help you get Indian Visa on priority and we would also help you with your travel arrangements.
For any further assistance please feel free to write back to us.
Assuring you with best of our services.
Saurav.
Saurav ChatterjeeManager
- International Marketing
Wockhardt Hospital ,
Mulund
Mumbai :400078
Tel:(O) - (0091) 67994221 ,
(M) - (0091) 9833874545Fax -
(0091) 67994242


Mungu wangu huyu mtoto bado hajapona tu? au kuna nkya mwingine alikuwa na mtoto kama huyo?Nilikuwa naangalia jna kuna chanel moja inaitwa TLC huku kwa mzee wa kichaka aka mtu pori, kuna watoto wana hali mbaya kuliko huyo na wametibiwa nao walikuwa wazima kabisa walipata msaada kwenye hospitali moja inasaidia watoto huko mexico, how to go about it sijui vizuri nikipata details nitakutumia michu apone mtoto. walijaribu kuzuia kuendelea na maambikizi halafu wanafanya cosmetic surgery kujazia nyama na kuujenga uso ulioharibika but its very expensive.
ReplyDeleteMakanisani na misikitini wakiamua kuchanga hizo fedha zingeweza kupatikana.Iam sure kwa makanisa ya kilutheri Azania,Msasani, Magomeni na Mbezi beach kwa sadaka za siku moja tu hizo milioni kumi na ushehe zinapatikana. Hii kwa mtazamo wangu mimi ndio itakuwa zaka takatifu angalau vyombo vya makanisa vikaelekeza mgao wake katika masuala ya critical kama haya angalau mara moja kwa mwezi.
ReplyDeleteUnajua nini naipost hii story kwenye craigslist. Kila siku naona wanachangishana hela za kufanya operation za mambwa na paka hapa zaidi ya $4000 sasa kama wakiona hii kweli kama wana moyo basi watawasaidia....jamani kila mtu aliyeko marekani basi ingia kwenye graigslist kwenye city yako upost hiyo basi.. Ni free mimi nikiweka story hii kwa cookies zao wataniruhusi miji sio zaidi ya miwili. Sasa jamani harambee yetu iwe hiyo ....ni freee...nenda kwenye community then pet section au general section. Andika I need help.... copy and paste the rest is up to God....
ReplyDeleteJUST KUULIZA......VIPI KUHUSU HIYO KAMPUNI ILIYOTENGENEZA HIYO DAWA?
ReplyDeleteNA WHAT ABOUT MATUMIZI YA HIYO DAWA HAPA NCHINI. Na kama hiyo dawa ilitaka umakini wa mtaalamu aliyee-prescribe kwa huyo mtoto...ni hatua gani zimechukuliwa kwa huyo daktari.....lastly...serikali iliyotuahidi "maisha bora kwa kila mtanzania"...inatoa msaada gani?....SITAKI unambie inatoa msaada wa kusaidia KUOMBA hela...NO!.....kwa sababu zile emergencies za ajali za viongozi za kutumiwa ndege ya kuchukua majeruhi na majeruhi kukimbizwa south Africa....sasa inapotoka hiyo hela tunaomba msaada wa japo nusu tuu na nyingine tutachangia.
Jamani, kabla ya kuomba misaada nchi za nje, sidhani kama watu wote tukijitolea kwa kila tulichonacho tutashindwa kumsaidia Bwana Nkya. Ni sawa kuomba misaada kwa mashirika mbalimbali lakini naomba kila anayesoma hii Blog afanye kila awezalo atoe alichonacho....Jamani hii ni muhimu sana....wenzetu wa nje wanatoa kwa moyo si kwavile hela zao hazina kazi...jamani tujitolee...!! Kwa kuanza natuma laki moja sasa hivi kwa bwana nkya..nazituma kupitia western Union..Sh. 100,000.00 Siyo hela nyingi lakini naamini wote tukifanya hivyo zitafika au angalau kukaribia kiwango kizuri..Asanteni Mdau wa USA-California....!!
ReplyDeletejamani ni hali mbay sna ya huyu mtoto tujitoe kumsaidia
ReplyDeleteMichuzi kwakuwa wewe ndio umeweka hili tangazo ktk blog yako, Naomba uwaulize familia ya hii familia inataka msaada wa kiasi gani in figures na uweze kutuandikia tena ktk blog yako.
ReplyDeleteHii itawezesha kusaidiwa kwa haraka na mimi binafsi nina kuhaidi nitamsaidia na pia nitamtafutia msaada kupitia marafiki zangu wafanya biashara ila cha maana hapa ningependa kujua total amount needed on this issue.
inasikitisha sana,
ReplyDeletehuyu mtoto anateseka sana kisa kukosa hela, tuwe na umoja jamani, kuna watu hapa tz wana hela kweli kweli tukijitolea mtoto huyo atapata matibabu na kupona pia, i wish ningekuwa tajiri kama wengine ningejitolea amount yakuridhisha but na umaskini wangu huu kidogo nilichonacho nitatoa,
watu wanachangia michango ya ajabu ajabu ili mradi tu majina yao yajulikane tz, but kwa maswala kama haya wenyenazo wote kimyaa,
hapa tunangojea mshiko utolewe kwa mtu atakae guess mshindi kati ya man utd and arsenal, jamani kina nyie mchangieni huyu baby na bwana mungu atawazidishia,
kuna madau hapo juu kagusia kuhusu makanisa na misikiti, kanisani watu huwa wanatoa sana, hizi picha zikipelekwa huko am sure 100% hela zitapatikana kabisa, zikitegwa jumapili 2 mfululizo na ijumaa 2 mfululizo kwamba mwenye chochote atoe hata kama sio hela kama ni vitu watoe vitauzwa, watu watatoa nina amini kabisa mdau ulie taja mambo ya kanisa na misikiti inawezekana kabisa,
pia michuzi kuna mdau mwingine amesema itakuwa vizuri kama tutajua actual figure, kwamba wanahitaji sh ngapi, hili ni jambo zuri pia, tujue wana kiasi gani na wanahitaji kiasi gani, sio watu waote tuu bila kujua lengo ni nini, kwani kwakufanya hivyo mtu atajua atoe sh ngapi, ukijua kiasi kinachohitajika itakuwa rahisi kujua kama unachotaka kutoa ni kidogo au vipi,
asante wadau, tukumbuku pia kumuombea mtoto huyu
Ndugu Mfanyabiashara hapo juu…inatia moyo kuona kuwa unajali na kwamba unataka kuwa-contact wafanyabiashara wenzako ili kusaidia hii familia. Kiasi kinachotakiwa ni Dola 10,200. Ndo makadirio yanayoonyesha hapo juu toka kwa Dr. wake huko India. I hope this helps…just in case Michuzi hajatuma kwenye blog. Inaonyesha hapo juu kwa maelezo toka kwa Daktari wake…Asante sana….na uendelee na moyo huo….!!!
ReplyDeleteDAKTARI GANI AU MFAMASIA GANI ALIANDIKA AMPICLOX KWA HUYU MTOTO?
ReplyDeleteGRADUATE WA UNIVERSITY GAN HUYO?
KWANZA MR NKYA NAOMBA NIKUJULISHE
KUWA AFTER TREATMENT YA MWANAO
DAKTARI ALIYESABABISHA MADHARA HAYA
TUTAMUWAJIBISHA HILO ALIJUE WAZI
NA AJIANDAE.NA NINI HASA KILIMFANYA
AMPE MTOTO AMPICLOX BILA KUFANYA
BIOGRAM? SASA MATOKEO YAKE NI HAYA
ALIKUWA AMELEWA NINI WAKATI ANAANDA
PRESCRIPTION HII? NIMEUDHIKA,NIMEKASIRIKA,NIMESIKITIKA SANA.JAMANI TUMSADIE DOGO APONE THEN TUTAPIGA HESABU ZA KUMWAJIBISHA MHESHIMIWA ALIYEMPA
MTOTO DAWA HII.
Michuzi na wana blog...!! Nimejifunza kitu cha ajabu kuhusu watu wenye midomo mirefu. Michuzi ukitoa topics za kijinga kijinga kama za wabeba mabox utaona watu wote wenye akili fupi wa kwanza kuchangia na kusagia watu walioko majuu..angalia ulipotoa habari kuhusu kabila gani ni bora...comments 79 in one day...mpaka ukaifunga...sasa kumsaidia huyo mtoto wako wapi hao wasiobeba mabox? Angalau naona kuna jamaa mmoja hapo mbeba mabox yeye amejitolea sh. 100,000.00 Sasa kama ubeba mabox hauna maana tuwaone ninyi mnaoendesha AUDI huko nyumbani..mko wapi? Mbona hamuonyeshi picha mkitoa Cheques? Mimi nashangaa kabisa mambo ya kipuuzi haya..ona sasa hapa kuna comments zisizozidi 10 kwavile inawagusa mifuko...ikiwa ni mambo ya kijinga kijinga..wa kwanza...!! Mnakatisha tamaa....onyesheni basi kuwa mnajali..kila mwana Blog akitoa hata sh. 10,000 tutafika mbali....HAYA CHALLENGE HIYO NIWASIKIE...MICHUZI POST HII KWA HERUFI KUBWA NA BOLD FONTS NIWASIKIE WANA-BLOG WENYE MIDOMO MIKUBWA...!!
ReplyDeleteDUH! Hiyo ni reaction au KANSA?
ReplyDeleteweeeee mpumbavu wa November 2, 2007 10:27:00 PM EAT, kweli huna huruma hata kidogo,kweli unaweza kufikiria kansa wakati umeambiwa ni reaction ya dawa, je kama ni mwanao ungefurahi kuambiwa hivi au mama yako au baba yako?
ReplyDeleteTuwe na huruma jamani, inasikitisha sana
pole sana bwana nkya,tatizo hilo ni kubwa sana hasa kwa mtoto (malaika)huyu,inshallah mwenyezi mungu(swt)atamuhafu.sali sana muombe mungu atakusaidia hata misaada utaona inakuja tu kwani kila jambo mtangulize mungu,na kila amuombae humjalia.
ReplyDeletemimi nilikuwa nina wazo kidogo kama litawezekana,kama unandugu,jamaa au rafiki unayemuhamini au hata uombe ubalozi hapa UINGEREZA upate bank account details ili tuweze kukutilia chochote nahamini watu wengi hapa wanataka kutoa lakini inakuwa tabu jinsi ya kutuma kwani sio wote wenye uwezo wa kutumia westen union ghalama inakuwa kubwa lakini kwa kutia bank ni rahisi.
POLE SANA NDUGU YETU,mtoto akiumwa flu tu anapata tabu ,sembuse maradhi kama hayo,inshallah (allah) atamuhafu sote tunamuombea.
he jamani mtoto huyu anatirisha sana huruma yani nimeguswa kweli yani unajua hawa madaktari they do help in a certain way bt sometimes they have to be more careful as we all know no one is perfect sasa madhara yake watu wanaachwa vilema bila kutegemea.halafu kingine sijui hata kama expiry dates zinaangaliwa kwa makini a watu wanapewa dawa tu ili mradi anyws Mungu atamsaidia haya wabeba maboxi wasio mabeba maboxi wote tufanye ubinadamu na kumsaidia mtoto wa watu.
ReplyDeletenime i forward kama ilivyo kwa I-report ya CNN ambayo huwa napost news toka KL, hope itakuwa na impact
ReplyDeleteJamani huyo mtoto anaweza kutibiwa bure wekeni tangazo kwa OPRAH show.Watamtibu na kufanya construction ya uso bure,wahindi bwana wezi wanataka tu kumfanya kama experiment.Tuma picha CNN pia watamlipia atatibiwa bure.Msaada sio aibu hayo magonjwa ni ya kawaida but the more you wait the harder is going to be,and if is the big C also can be treated.America,saudi arabia,japan or UK can treat the baby for free but not India,they want money and they don't care.
ReplyDeletenimeipost kila sehemu Newyork.
ReplyDeleteMUNGU AMSAIDIE JAMANI...THIS IS TOO SAD..SIJUI KAMA NTAWEZA KULALA NINA MTOTO WA KIUME..AND I'M SURE WENGINE MNAO KIDS..IMAGINE IF THIS HAPPENED TO THEM....LEND A HELPING HAND..TUSAIDIE JAMANI..!!
India should be ashamed of themselves.The baby need help now,money should not be a front.Stay in AC room???? a personal dietician????? Credit card???? they are talking money here not help.I will chose an Arab over Indian.Indians are fags.The child is in pain they are talking money????
ReplyDeleteMimi nataka kujua..Wale jamaa wanaoona kuendesha Audi ndo uanaume..huyo jamaa anayeendesha Audi yuko wapi? Mbona alikuwa wakwanza kutuma picha yake kwa Michuzi na kutuambia habari ya Range Rover yake na biashara ya makarandinga...sasa tunamuhitaji hapa kwa bwana Nkya kuliko wakati mwingine wowote...Mr....sijui nani..tunakusubiri uonyeshe vitu vyako..Mr. Audi...!!
ReplyDeleteHeee nimekumbuka jamani RICHA yuko wapi????? na maiss wengine sasa watumie mataji yao kutusaidia.Umiss tanzania anao sasa akachangishe hela.Ndio ma miss wanapataga pointi kama hivi,wajitume sasa tuwaone thamani yao.
ReplyDeleteBwana wangu!!! Nimepost hii habari kwenye craigslist watu wananitukana kweli wanasema scam...mhhhhh naona imebakia mdakika mbili tu wataiflag. Waatatu tu ndio wameandika email ya kuonyesha moyo na kuniambia ni call hospital moja hivi ipo karibu niwaulizie. Lakini 95% ya email ninazopokea nimatuzi tu. Nimejaribu kusaidia more...kama huyo aliyesema we need a local bank account tukitransfer hela hatutachargiwa sana. Kutuma bongo west union charges zake nyingi.
ReplyDeleteJamani acheni IMANI BILA MATENDO...!! HATA BIBLIA INASEMA IMANI BILA MATENDO IMEKUFA. HAYA MAMBO YA KUSEMA NAMUONEA HURUMA, NITAMUOMBEA, ANATIA HURUMA HAYASAIDII KITU..PESA ZIKO WAPI? MBONA WATANZANIA MANENO MENGI MNO..MNAZIDIWA NA WAKENYA HAPO JIRANI..WANGEFANYA HARAMBEE NA PESA INGETOKA..NINYI USWAHILI TU...!! NINA MTOTO SIJUI KAMA USIKU NITALALA..SASA NANI HANA MTOTO? WAKO HAUMWI..MTOTO WA NKYA NDIYE MGONJWA..JITOLEE HATA DOLA 50 JAMANI..ACHENI MAMBO YA KUSEMA TU HAPA KWENYE BLOG...MNAPOTEZA MUDA MTOTO ANATEKETEA...!! ANZENI KUTOA KWANZA WAKATI WAFADHILI WANATAFUTWA...!! NA HAO WANA CCM WALIOKIMBILIA HUKO DODOMA KUGOMBANIA VITI ILI WALE HALAFU SISI TUPATE HUDUMA ZA HOVYO..MTALIPWA NA MNYAZI MUNGU MWENYEWE....!!!
ReplyDeleteMichuzi na Wote:
ReplyDeleteUgonjwa wa cleft palates and lips si kansa!!!!!!!!!!! Ni ugonjwa unaotokana na hitilafu za kutokua kwa sehemu hizo wakati wa majira ya “foetus” katika tumbo la uzazi .
Mashirika yafuatayo yanaweza kusaidia sana huo. Mtu yeyote anayependa kusaidia kutafuta “foundations” zinazosaidia anaweza kuongezea orodha hii:
1. http://www.icpfweb.org/
What is ICPF?
The International Cleft lip and Palate Foundation is a multi disciplinary humanitarian foundation devoted to cleft lip and palate patients. It was established on October 23 1997, at KYOTO with more than twenty countries participating.
The ICPF has regional branches worldwide.
ICPF Central Office
ICPF Branch in Asia-Pacific region
JCPF Japanese Cleft Palate Foundation
c/o Aichi-Gakuin University
2-11 Suemori-dori, Chikusa-ku, Nagoya 464-8651, JAPAN
TEL/FAX : +81-52-751-7181(ext. 359)
E-mail : info@icpfWeb.org
ICPF Branch in Europe
c/o Professor Hans-Henning Horch
Klinik und Klinik fur Mund-Kiefer- Gesichitschirurgie
der Technischen Universitat
Munchen
TEL : +49 89 4140 2921
FAX : +49 89 4140 4993
E-mail : horch@mkg.med.tu-muenchen.de
ICPF Branch in the Americas
c/o Professor David Precious
Dalhousie University
Halifax, Nova Scotia
Canada, B3H 3J5
TEL : +1 902 494 1679
FAX : +1 902 423 9584
E-mail : d.s.precious@dal.ca
2. http://www.smilesinternationalfoundation.org
Who We Are: Smiles International Foundation is a national and international organization which organizes and provides charitable surgical care for underpriveldged children internationally and in the U.S.A. who are afflicted with cleft and craniofacial deformities through a team approach for longitudinal care. This allows excellence in optimal growth and development for the children served.
3. http://www.operationsmile.org/?cid=3&OVRAW=cleft%20lips&OVKEY=cleft%20lip&OVMTC=standard&OVADID=6288104021&OVKWID=71180800021
Throughout the world, Operation Smile volunteers repair childhood facial deformities while building public and private partnerships that advocate for sustainable healthcare systems for children and families. Together, we create smiles, change lives, heal humanity.
In Kenya:
Operation Smile Mission in Kenya began its 20th Anniversary year celebrations by conducting a local mission in Meru, its fourth at this site in five years. The all-Kenyan medical volunteer team, led by team leaders Dr. Kimani Wangeri and Dr. Alex Kinyua, and clinical coordinator, Doris Musyoka, provided life-changing surgeries to 99 children during three days of surgery.
Assalam Aleykum kaka michuzi...pole kwa pirika pirika za kutoka Arusha kwenye kozi yako hiyo. Napenda kurespond kuhusiana na msaada uliotakiwa kwa ajili ya mtoto wa bwana Nkya...samahani kwa kuchelewa lakini ni leo wakati nilipokuwa katika pirikapirika za kusoma habari za tiba ndo nikaona kuna web site moja ya shirika la misaada ambalo hufanya operesheni bure kuwasaidia watoto kutoka nchi masikini wenye mattaizo kama hayo..nafikiri ukimpatia bwana Nkya tovuti hiyo na kuwasiliana na wahusika wa taasisi hiyo pengine anaweza kutibiwa mtoto wake bure bila kusubiri kuchangia pesa hizo nyingi ili kumtibu India. nitawasiliana nawe binafsi lakini naweka hapa pia ili kama kuna mtu anawasiliana na bwana Nkya kwa walioko Bongo basi amjulishe. Nami pia ntafurahi iwapo ntaweza kutoa msaada katika kuwaandikia watu hao. Taasisi hiyo ipo Uingereza basi tafadhalini wadau mlioko Uk saidieni....
ReplyDeletehttp://www.facingtheworld.net/
Ahsanteni
Dear Issa,
ReplyDeleteThank you for drawing attention to the plight of Immanuel Kya’s girl child. I wanted to inform you that the hospital that gave you the quote of 10,200$ (Wockhardt Hospital) charges extra for foreigners. Therefore I suggest that you get a quote from different hospitals, at least to have a choice. It may be possible to get a quote from a reputable hospital for as low as 6000$. Please address yourself to a medical referrals agency such as:
Aarex India
Mobile : + 91 98201 99574
Landline: + 91 22 2537 2435
+ 91 22 2263 4085
Fax: + 91 22 2263 4086
Web: www.aarexindia.com
Address: Chamber F, A-Z Business Chambers,
30, Tamarind Land, Fort,
Mumbai 400 001, India