Home
Unlabelled
picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sAFI
ReplyDeleteSafi sana Staarz ya URUSI....Sasa kama mojawapo ya staarz wa Urusi mtasoma haya maoni namtafuta bwana mmoja anaitwa Joseph Kashagili anafanya medicine huko awasiliana nami kwa isimikinyi@yahoo.com..Bro Nidze.
ReplyDeleteHili mechi lilikua safi sana, coz vijana walijitahidi kuonesha uzalendo wao mbele ya mh waziri, maana hao waangola nivijeba, vimeshiba, lakini vijana walijitahidi sana mpaka wakashinda
ReplyDeleteHongera sana kwa ushindi mzuri inatia moyo sana kuona vijana wanaungana na kufanya kitu kwa pamoja chenye lengo la kuitangaza nchi .....Pongezi kwa uongozi mzima ubalozi wa Tanzania -Moscow Mh. P.Chokola.
ReplyDeleteDr. Balilemwa
ebwana hata mimi namtafuta mshkaji wangu anafanya medicine hapo,anaitwa Siza Mwangosi
ReplyDeletempeni email yangu wadau tafadhari
juniorcedric@yahoo.com
PUGU BOYZ aka shule ya viongozi wa bongo!