mwaka juzi nilibahatika kutembelea viwanda vinavyounda ndege za airbus miji ya toulouse, ufaransa, na hamburg, ujeremani na kujionea mwenyewe maajabu haya ya karne. haya madege yana uwezo wa kubeba abiria 550 na ndani ni kama jumba kubwa la kifahari la ghorofa sita na mna karibu kila kitu unachoweza kuhitaji. mengi juu ya airbus bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Afadhali Bro.Michuzi umeamua kutuletea vitu vya kiteknolojia na kuachilia mbali topic ya ukabila. Lakini suala la hiyo ndege ni mfano tu wa kuigwa na wanaojiita wawekezaji badala ya kujua na kununua Mashirika ya Ndege na Reli zetu za zamani watuletee na vyombo vipya vya usafiri. Hebu angalia hao wawekezaji wa Shirika la Reli wanavyotuyeyusha badaya kyja na treni mpya na za kisasa na kutandika vyuma vipya vya kupita treni wanaendelea kutumia vichwa, mabehewa na vjia za reli za zamani. Kwa kweli sijui hapo uwekezaji maana yake ni nini?

    Tunataka wawekezaji waje na vitu kama hivyo ulivyoviona huko France na Germany. Wabongo Bwana wanashangilia kusafiria treni za zamani.

    ReplyDelete
  2. MR MSUPU, HII NINI TENA? UNAANZA KUTUWEKEA PICHA ZA UNAPOKWENDA KUTEMBELEA ILI IWEJE? TUWEKEE BASI NA PICHA ZA TUWEKEE BASI NA PICHA ZA ATC.

    ReplyDelete
  3. Nashukuru kaka michuzi kwa taarifa zako nzuri sana hasa hili la airbus.kweli haya jamaa wa majuu sasa wanakoelekea kiufundi ni hatarisana kwani vitu wanavyounda ni vya hali ya juu sana,lakini labda tu kaka michuzi nikuulize swali mmoja,hivi mtu wa kawaida kaka wewe inakuwaje unaweza kuingia maeneo kama hayo ya viwanda maalumu kama hivyo au ndo fani ya kupiga picha tu inaweza kukuingiza maeneo kama hayo.
    nadhani ni maeneo nyeti sana kuingia kirahisi tu nakuchukua picha kama hizo au ndo jinsi ya wao kujitangaza kibiashara siyo,lakini hongera sana na sisi wataaluma wetu wa ufundi basi ndo jinsi kujitahidi sasa ili nasi tufikie kiwango kama hiki.

    ReplyDelete
  4. Michuzi kama vile hufanani na sehemu unazotembelea.

    ReplyDelete
  5. Nasikia Singapore airlines wamepiga marufuku kudinyana huko kwenye private room!!

    ReplyDelete
  6. mzee michu uliyoona wewe cha mtoto,mi niliingia la kumeza binadamu 850 na mizigo yao.dege kama kijiji hilo mzee.

    ReplyDelete
  7. The bigger they are the harder they fall,just like TITANIC.I will never a plane like that for physics reasons unless is a military plane,I can only trust those

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...