a-taun nako mambo ni tambarare...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. si utani babaake....

    ReplyDelete
  2. Ushauri wa bure kwa mtanzania mwenzangu wa A-taun. Hilo ni lakupandia mapori huku nchi za watu. Ukionekana na watalii utachekwa sana unavyokatisha nalo mitaani hilo pikipiki. Hahahahahahaha.........

    ReplyDelete
  3. Ushamba mzigo tembea uone.Hiyo jamani haitumiki barabarani kama hivyo ni ya maporini huku ughaibuni.Msitutie aibu.Na hiyo si pikipiki ni RV.

    ReplyDelete
  4. jina ni QUAD

    ReplyDelete
  5. jamani hizo ni dirty bike...barabarani mweeee...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...