Home
Unlabelled
kamera ya adam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi hawa vijana kujitia wamarekani maana yao nini?
ReplyDeletemwingie anakilemba , vidole hivyo loh !!##
sasa ni nini kitawatofautisha wao na kina Kanye West.
people, grow up ( acheni kuiga )come up with your own stile nyie ni wasanii bwana
hata haipendezi !!!
mnatutia aibu maana tutashindwa kuwaonyesha marafiki zetu wasio Waafrica
mdau Canada
Hivi Michuzi, kwa nini unapenda bandika hata vitu visivyokuwa na msingi humu ndani? Tuokoe Hip-Hop kwani sisi ni muziki wetu? Wamarekani (watu wa ghetto) wenyewe sasa wanauponda huo muziki halafu kina sisi wanataka sie tuokoe huo muziki for what? That's embarassing guys, huu muziki hauna kipya people don't give a damn anymore. Lete mambo ya Bongo dansi tukuelewe, si mambo ya karaoke hapa!
ReplyDeleteUjinga mtupu Hip-Hop Tanzania wapi bwanaa..huu ni utamaduni wa kuiga wamarekani weusi. Tamaduni zetu ni kama sindimba, mganda etc..haya mambo ya hi-hop sijui nini ni kichekesho tu kwa mbongo
ReplyDeleteHip hop ni mziki wa wahuni na wavuta bangi. Tena ni mziki wa mashoga. HAki ya nani tunatakiwa kuutokomeza sio kuuokoa. BONGO FLEVA ziiiiiiiiiii! Lete Muziki wa dansi nitakuelewa. Tena Michuzi marufuku kutuwekea hizi habari zako za mashoga, mwiko tena ukome mwisho leo
ReplyDeleteduh! jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,pamoja na kwamba hiphop ni mziki wa harakati wa watu weusi lakini baadhi yetu wanaonekana kutolifahamu,ukweli hiphop ina asili ya africa,nikimaananisha Tanzania ni moja wapo,ndio maana hata wanaharakati wa Kwanzaa walitumia maneno ya kiswahili,na hata baadhi ya wanaharakati wa Black panther wapo nyumbani Arusha,hivyo watu kama nyie hamuwezi zuia harakati,mvua kama inanyesha itanyesha tu!
ReplyDeleteMichuzi wewe sasa unatutia kinyaa sie tulio mbali na nyumbani. Masuala ya Hip-Hop yamepitwa na wakati, huku marekani mmarekani mweusi akisikia tu unapiga nyimbo za Bongo Fleva anakushangaa na kukucheka, huko nyie mnaona ujiko. Michu, huu ni upumbavu tu...haya masuala ya kijinga waachieni wenyewe wamarekani. Kwa wale wasiojua, huku Marekani mtu mweusi (Mmarekani mweusi) sio issue, anadharauliwa sana na jamii wengine, cha kushangaza wao wanatudharau sisi, sasa kwa nini huko nyumbani mnaona ujiko kuwaiga hawa watu? Kuweni jamani, mnatutia haibu sie ndugu zenu, huku tunaishi na kufanya kazi tu bila kuwajali hawa watu.
ReplyDeleteTanzania bwana! Yaani mtu anaona ujiko kabisa kujifanya Mmarekani mweusi..? This is so SAD. Sijui waTZ watakuwa lini, hii ni haibu...mtu hupendwi lakini bado tu unalazimisha kunyenyekea maisha ya ghetto ya Mmarekani mweusi. Yangu macho, masikio nayaziba.
ReplyDeleteKwa kweli Wabongo tunatakiwa kubadilika mimi napenda wanamuziki mfano ni wa west africa kama gambia ,senegal hawana mbwembwe kama hizo za kibongo za ubishoo na kutaka kuwa wamarekani jamani tutangaze muziki wetu kwa kweli na si muziki ambao si wetu.Asili jamani acheni hizo!!!! na ma west africa wanatesa maulaya kwa ajili wanatangaza muziki wao wa asili yao mfano youssou Ndour na wengine sisi tunakalia mbwembwe na kujifanya wamarekani kila kukicha guys get a grip hasa mnaojiita wanamuziki nafikili ni immitating Black American!!!
ReplyDeletekweli "Remmy' alijisemea 'Tembea ujionee usingoje kuambiwa'. hawa hata uwaambie nini hawawezi kuelewa, wako sawa na hawa vijana wanapoingia hapa Marekani kwa pupa, then after a while wanakuja ku-realize the reality !!! kwahiyo wapeni muda tu may be sikumoja watajimwaga kunakohusika na kujionea ukweli wenyewe.
ReplyDeleteJamani nilifurahi sana niliposikiliza wimbo wa SIKINDE ---"DDC MLIMANI PARK ORCH..." unaoitwa CLARA. Kutoka blogu ya Bongocelebrity...
ReplyDeleteJamaa hapo juu wamechemsha kwasababu wanaonekana hawajui chochote kuhusu Amerika na nani aliyewaambia Hip-hop imekufa. Sasa huyo jamaa anaye-shoot sijui anamshuti nani? Huku ndiko kuiga kama nyani.
Wanaweza kuiga vya huku vya maana na wakavipa sura ya kibongo na kuacha ambavyo havina mpango, kama mitusi, kuwadhalilisha wanawake, na u-gangsta ambavyo vinatawala hip-hop.
ebwana Michuzi hiyo ni "kijiji cha globu"????? au "kijiji cha blogu"???? poa mzee najua hata mtu mzima anakosea, tunakupata vilivyo huku chuo kikuu cha Dodoma
ReplyDeletejameschambo@gmail.com
Plain simple! Anybody mtanzania ambaye yuko pro Hip Hop is a real sale out in a sense kwamba hata blacks wa hapa marekani do not understand him.
ReplyDeleteKama alivyosema jamaa hapo juu, vijana wengi wa kibongo wanaokuja huku na kujifanya black americans end up being bitter baada ya ku-realize kuwa wanapoteza muda wao kuiga black americans. Let the truth be told...kwa any mtanzania anayeishi hapa marekani aende kumwambia mmarekani mweusi kuwa yeye ni mwafrika ilo pigo atakalopata nafikiri mpaka Bush atajua. These people hate us, na nyie nyumbani mnaona ujiko kujifananisha nao.
Hip Hop haina mpango kabisa, na kama isingekuwa kuwaonga ma-DJ wa Bongo redioni, Fleva ingekufa kitambo. Muziki gani usio na maadili ya mtanzania.
Mi nawaomba tu hawa vijana, wakajiunge na Sikinde, Msondo, ama hata kuanziasha bendi zao wenyewe la sivyo watakuja jijutia kupoteza muda wao baada ya mwaka toka sasa wakati Fleva imekufa kabisa Tanzania.
Kaka Michuzi, huu ni upumbavu bwana. Sasa sisi tuokoe Hip Hop kwa misingi gani? Muziki huo sio wetu ila kuna baadhi ya makundi huko Bongo na wale wanna bees huku majuu (hawalali) wanajitahidi kuufanya huo muziki kuwa wetu, for what sake? Vijana wengi washamba (fleva people) wanakuja huku kwa pupa kujifanya black americans baadaye wao wenyewe wanaona kumbe ni ujinga tu. Eti mnataka tuokoe Hip Hop, get life you losers!
ReplyDeleteKweli naamini, mwerevu kamwe hatoshindana na mjinga. Eti Hip Hop ni muziki wa wanaharakati weusi na ambao Arusha wapo...what the hell?
ReplyDeleteHao wanaharakati wa Arusha wanaranya nini ama wanagombania nini huko Tanzania? Nyie wajinga acheni kulazimisha vitu na kuvibatiza kuwa vyenu, ulimwengu mzima unafahamu kuwa Hip Hop nimuziki toka marekani, nanyi mnataka kulazimisha uwe wenu, aren't you being stupid?
Kichekesho zidi ni pale mtu unapokuwa na hamu ya kusikiliza Bongo redio ili upate muziki asili wa nyumbani, yaani unasikia mijamaa (fake Dj's) inaongea English na lafudhi za kulazimisha ili waonekane ni americans, jamani inachekesha na pia inaleta haibu. That's why I vowed not to listen to that redio anymore, ujinga mtupu!
Kwanza kaka muhidini asante sana kwa kuwapa watanzania nafasi ya kuongelea neno HIP HOP.watu wengi hawajui maana ya HIP HOP ndio sababu wametoa comment zao hovyo hapo chini,kabla mjakaa mkaandika kitu chochote kisicho kichwa wala miguu mjue maana ya neno mnalolizumgumzia.HIP HOP imetokea marekani kuelimisha jamii na watoto masikini ili waweze kupata elimu kwa kutumia muziki.Tofauti ya mambo yalioandikwa hapa ni watu ambao wanachanganya HIP HOP NA RAP.Rap imetoka mtaani marekani ambako wanazungumzia mambo ambayo yanapigwa vita na wananchi yanayo didimiza jamii.HIP HOP ni elimu na siasa ya kuendeleza jamii(uplifting the next generation).mafunzo na message ilikuwa katika HIP HOP ni tofauti sana na RAP,kwa hiyo kabla watu hawajaanza kuandika RUBBISH waangalie maana ya HIP HOP kwenye dictionary,msije mkaendelea kutia haibu duniani nzima.asanteni sana,Mahadia(first lady of KWANZA UNIT)..HIP HOP IS ALIVE AND WELL!!(Mkitaka mfano wa HIP HOP msikilizeni Balozi,anamambo mengi kwenye mziki wake utawaonyesha maana ya Hip Hop.)
ReplyDeleteMimi naona haibu hata kuangalia hizi picha. Kuna vitu vya aibu sana na hii ni moja ya maajabu ya vijana wa Tanzania. Unajua wakati wa Nyerere mimi nilikua shule ya msingi na nilisoma na rafiki zangu walio na uchungu sana na elimu. Nilikuwa nafanya ila njia ku compete ili nione kama ninasoma kwa bidii. Hiki kipindi sio zamani sana ni miaka ya themanini. Vijana wengi walikuwa wanasoma kwa bididii ili kuondokana na umaskini na hii practice ilikuwa inawork. Matunda yake, watu wengi waliotoka kwenye familia za umaskini walikua wasoma sana na kufaulu. Sasa hivi walio maskini hawataki kusoma na wanaambata na hii culture ya marekani. Itawapeleka wapi, kila kijana anafikiri rap ni solutions na wanasahau walipotoka. Hizi culture na rap ya ndugu wengine itawapeleka wapi? Hata hizi video wanatengeneza kwa kuiga huku. Well huu ni ujinga na kama wanataka kufanikiwa kimziki waje na positive songs and za maana. Use music as tool. Huku marekani rap inaharibu generations na watu weusi wenyewe wameshtuka too late. I hope this is just transition period. Lets copy positive and things that help to solve problems.
ReplyDeleteKichekesho kweli kumtazama chura asiye na masikio wala mkia. Duh, huyu sister Mahadia kweli naye ni mpumabavu. Kama hayo unayoyasema wewe ni sahihi, mbona hakuna msanii yeyote wa Hip Hop Bongo anaye elimisha jamii zaidi ya kuongelea masuala ya mademu na kula pipi? Wasanii wote wa Hip Hop TZ (including wewe) ni fake na hawana mtazamo wowote katika jamii. Then, when confronted wanaanza oh, tunajitetea kupitia muziki. To hell with you all, YOU ARE NOT AMERICANS. Laiti mngejua mnavyochukiwa, haki ya nani msingepiga ama kukopi huo muziki wa watu, IT HAS NOTHING TO DO WITH YOU AS MTANZANIA...hupo hapo?
ReplyDeleteKwa nini wabongo mnapenda kulazimisha vitu na kufanya kuwa ni vyenu? Michuzi, nakuomba umwambie waziri wa utamaduni to ban this kind of nonsense. We are NOT Americans, na muziki wa Fleva hauna maana hata kidogo katika jamii yetu na kizazi kijacho bali kinalostisha watu. To hell with Fleva!
Nyie msibabike, huyu Mahadia ni sawa na wanna be. She tries so hard being a black american hata na lafudhi hubadilisha kwa shida saaana. Na ndio maana hapa anaandika porojo kutaka Hip Hop iwe ya kibongo. Mtoto alosto ni alosto tu...Eti Hip Hop inaamasisha watu, We Mahadia unahamasisha nini na kama we ni mwana harakati, mbona hatukusikii in the media zaidi ya haka ka-blogu? Acha ujinga we demu, kauze vitumbua ama maandazi, unajilostisha bure kuamini kuwa Hip Hop ni muziki wa wabongo. Mahadia unatia kinyaa!
ReplyDeleteJamani baa nyingi Bongo zinahitaji wauza nyama choma, kwa nini msiende huko? Msikimbilie na kulazimisha vitu visivyo vyenu. Mnataka kuokoa Hip Hop badala ya kulima na kfanya vitu vya maana, mnalazimisha ujinga. Michuzi..., Waziri wa Utamaduni anafanya nini hapa? Ee bwana mwambie apige stopu hii culture ya kujiletea (ujinga), na huu muziki wa pipi pipi hupigwe stop mara moja maredioni. Huu ni upuuzi mtupu!
ReplyDelete