
baba ya muziki mzondo ngoma jazz band leo wametangaza uzinduzi wa albamu ya kwanza toka wabadili jina toka ottu jazz, uzinduzi utaofanyika ijumaa ya wiki ijayo hoteli ya landmark, ubungo. kutoka kulia ni saidi mabera, katibu wa chamudata, kamanda wa bendi muhidin maalim gurumo, meneja wa kilaji cha safari laga mama hellen sweya na mjumbe wa kamati ya msondo leo pale idara ya habari maelezo. kwa maelezo zaid piga namba +255 754 401 383


Nawakubali Msondo pamoja na bendi zingien huko Bongo. Huu ndo muziki asili wa TZ sio mambo ya play-back (Flava). Huku Marekani siku hizi huu muziki wala hauna chati na utakufa tu si muda mrefu toka sasa. Oyeeee Msondo!
ReplyDeleteMsondo Ngoma aka baba wa mziki
ReplyDeleteMimi wazee hawa nawafagilia huu ndio mziki wa dansi wa Tanzania,
sio huu MZIKI WA KIZAZI CHA WATUMWA
WAPYA na play back zao za Computer!
Msondo wa zile bendi zote zinazopiga mziki wa dansi wa Tanzania ndio wenye SOKO nje ya Tanzania.wazee kazeeni Buti.
MSONDO JAZZ BAND....... Wazee wazima nawakubali sana hawa jamaaaaa..... duh wazee tupo pamoja mamemba MSONDO wa daaaamu wallahi.... Ngoma kubwa!!!!!! lete vituz
ReplyDeleteHivi Michuzi, hii albamu ya Msondo ni ile ya Kicheko? Kama ni hivyo, hii ni albamu ya mwaka jana?
ReplyDelete