mtu ukihemewa kwa furaha unalia ati. bwawa la maini linatia raha wallahi. cheki hapa
mtu ukihemewa kwa furaha unalia ati. bwawa la maini linatia raha wallahi. cheki hapa
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
mtu ukihemewa kwa furaha unalia ati. bwawa la maini linatia raha wallahi. cheki hapaTanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi nae!!!!
ReplyDeleteHaya basi hongereni.
Pamoja na kwamba ni wabaya wetu,Torres ni kifaa cha nguvu.Tungempata MAN yule mbona ingekuwa utamu zaidi ya sasa.
Mwisho kabisa, ni wazo langu tu,"kama ningekuwa Benitez": Crouch,Kuyt na Torres.Crouch anatangulia halafu anapata support ya hao jamaa.
Ebana mi nawasubiri hawa Manure tu nasave maneno kwa sasa ila ntaongea jumapili....YNWA
ReplyDeleteKUDADADDAADADADEKI!! 4-0 BWAWA NUKSI SHENZI TAIP!!
ReplyDeleteFERNANDO TORRES CHAMTOTO, KIFAA NI STEVEN GERARD MAANA YULE MTOTO ILE LIVERPOOL NI KAMA TIMU YA BABA AKE NA HADI SASA AMEFUNGA MAGOLI KUMI KATI YA MECHI 11
ReplyDeleteSTEVEN GERARD IS THE ONLY PLAYER ON THE PLANET TO HAVE SCORED A GOAL IN A CHANPIONS LEAGUE, UEFA, FA CUP AND LEAGUE CUP FINAL..WHAT A PLAYER
ReplyDeleteCONGRATS BWAWAZ YOU ROCK BOYS!!
ReplyDeleteBWAWA LA MAINI HAVE THREE WORLD CLASS PLAYERS F.TORRES, STEVEN GERAD AND J. MASHCERANO THESE BOYS ARE FANTASTIC
ReplyDeletemichuzi vipi bongo reds wadau bado tunasubiri kwa hamu..mbona jumapili inachelewa tuwafunge mdomo MAN U.?
ReplyDeleteFERNANDO TORRES
ReplyDeleteFERNANDO TORRES
TORRES IS VERY CUTE
ReplyDeleteTORRES IS VER HANDSOME
TORRES HAS PACE
TORRES KNOWS HOW TO SCORE
TORRES IS VERY CUTE
ReplyDeleteTORRES IS VER HANDSOME
TORRES HAS PACE
TORRES KNOWS HOW TO SCORE
mnaongea sana subirini j2 kama hamjamtimua Benitez. Nawaonea huruma sana sababu hiyo ndiyo nafasi ya MAN kuongoza league na hatuifanyii mzaha tunapiga bao tu.
ReplyDeletePamoja na mimi kupenda soka la England sana napenda kukuomba ufanye utafiti juu ya haya mambo madogo kuhusu takwimu ya soka letu la home.
ReplyDeleteTunajuwa Allan shearer ni mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi katika ligi ya england.
*Haya ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kwenye ligi yetu?
*Ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kwa klabu ya Yanga(Timu yangu)?
*Ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kuliko wote kwa klabu ya Simba?
*Ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kwa Taifa stars?Watu wengi hatujui Pele/Ronaldo(Brazil)/Henry wetu ni nani?
*Ni mchezaji gani aliyechezea Taifa stars mechi nyingi?
Ukiweza kunipatia hivyi vitu nitashukuru.
NB-Arsenal ni kiboko yaooo.
When u walk thru a storm hold ur head up high,and dont b afraid of the dark,at the end of the storm is a golden sky, N the sweet silver song of a lark ....Walk on thru the wind...walk on thru the rain ...tho'ur dreams be tossed n blown,.....walk on,walk on...with hope in ur hert...n u'll never walk alone even if upo marseille. its me.!
ReplyDeleteTupe habari za Yanga, hatutaki livapul. Kwani sisi waingereza? Mbona waingereza hawashabikii Mtibwa? ebo?
ReplyDeleteMna hamu sana ya kumtumikia "slave master" wenu mpaka siku ya mwisho. Halafu eti mnajifanya miaka 46 ya uhuru; Uhuru gani mnao nyie hata kama kitu kidogo kama soka pia mnapenda vya wenzenu?
Hivi na wewe Michuzi, kwanini unaamini uongo wako wewe mwenyewe na kujifanya kwamba hujui kuwa wewe hutoki uingereza, na wala hujazaliwa Liverpool?
Najua hii hautoi-tundika. Ni moja tuu ya characteristics za CCM hizo.
Tupe habari za Yanga, hatutaki livapul. Kwani sisi waingereza? Mbona waingereza hawashabikii Mtibwa? ebo?
ReplyDeleteMna hamu sana ya kumtumikia "slave master" wenu mpaka siku ya mwisho. Halafu eti mnajifanya miaka 46 ya uhuru; Uhuru gani mnao nyie hata kama kitu kidogo kama soka pia mnapenda vya wenzenu?
Hivi na wewe Michuzi, kwanini unaamini uongo wako wewe mwenyewe na kujifanya kwamba hujui kuwa wewe hutoki uingereza, na wala hujazaliwa Liverpool?
Najua hii hautoi-tundika. Ni moja tuu ya characteristics za CCM hizo.
Mbona hampendi timu za wala vumbi???Kazi kushabikia timu za majuu.Au tambarare na kashfa za kukashifu majuu zinakoma kwenye mpira.Michuzi umehemewa mpaka ukatoa machozi!!!!Shingoni au???
ReplyDeleteKha hiyo picha mbona kama Most wanted fugitive???
ReplyDeletekaka michuzi tunaelewa fika kama wewe ni gwiji la liverpool lakini kinachotushangaza kuvaa hizo kofia za baridi na skafu wale wenzenu wa ughaibuni huvaa hizo kwasababu ya baridi kali,kwa ushauri wangu tafuta baseball cap.
ReplyDeleteAise vipi...unasumbuliwa na bangi babu?
ReplyDeleteMICHUZI....MIMI NINA SWALI KWA MDAU ANAYESHANGAA WATANZANIA KUWA WANAZI WA SOKA YA UINGEREZA....ANAJIDAI YEYE MZALENDO WA KUTUPA....SWALI LANGU KWAKE..JE,YEYE KUANZIA VAZI,DINI,LUGHA,CHAKULA,KINYWAJI...JE HUTUMIA LOCAL STUFF?KWA MAANA YA POMBE MNAZI,MBEGE KUTEGEMEA NA KIJIJINI ANAPOTOKEA,VAZI NI KANIKI AU LUBEGA?HUYO NAHISI ATAKUWA AINA YA KINA BITOZI NYANGEMA....VINGINE AKIIGA TOKA NJE SAWA...ILA MPIRA TU NDIO HATAKI...BWEGE SANA HUYO NYANGEMA
ReplyDeleteI think the guy is on something???? weed or somemmm'!!!!!
ReplyDeleteissah ukihemewa uwe unaandika basi sa mbona kimya kufungwa ni ubovu tu wa timu hamna cha bwawa la maini wala figo si umeona imamarati tunavyo songa?
ReplyDeletelia tu si umefungwa timu mbovu mnaongea sanaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete