mtu ukihemewa kwa furaha unalia ati. bwawa la maini linatia raha wallahi. cheki hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Michuzi nae!!!!
    Haya basi hongereni.
    Pamoja na kwamba ni wabaya wetu,Torres ni kifaa cha nguvu.Tungempata MAN yule mbona ingekuwa utamu zaidi ya sasa.
    Mwisho kabisa, ni wazo langu tu,"kama ningekuwa Benitez": Crouch,Kuyt na Torres.Crouch anatangulia halafu anapata support ya hao jamaa.

    ReplyDelete
  2. Ebana mi nawasubiri hawa Manure tu nasave maneno kwa sasa ila ntaongea jumapili....YNWA

    ReplyDelete
  3. KUDADADDAADADADEKI!! 4-0 BWAWA NUKSI SHENZI TAIP!!

    ReplyDelete
  4. FERNANDO TORRES CHAMTOTO, KIFAA NI STEVEN GERARD MAANA YULE MTOTO ILE LIVERPOOL NI KAMA TIMU YA BABA AKE NA HADI SASA AMEFUNGA MAGOLI KUMI KATI YA MECHI 11

    ReplyDelete
  5. STEVEN GERARD IS THE ONLY PLAYER ON THE PLANET TO HAVE SCORED A GOAL IN A CHANPIONS LEAGUE, UEFA, FA CUP AND LEAGUE CUP FINAL..WHAT A PLAYER

    ReplyDelete
  6. CONGRATS BWAWAZ YOU ROCK BOYS!!

    ReplyDelete
  7. BWAWA LA MAINI HAVE THREE WORLD CLASS PLAYERS F.TORRES, STEVEN GERAD AND J. MASHCERANO THESE BOYS ARE FANTASTIC

    ReplyDelete
  8. michuzi vipi bongo reds wadau bado tunasubiri kwa hamu..mbona jumapili inachelewa tuwafunge mdomo MAN U.?

    ReplyDelete
  9. FERNANDO TORRES

    FERNANDO TORRES

    ReplyDelete
  10. TORRES IS VERY CUTE
    TORRES IS VER HANDSOME
    TORRES HAS PACE
    TORRES KNOWS HOW TO SCORE

    ReplyDelete
  11. TORRES IS VERY CUTE
    TORRES IS VER HANDSOME
    TORRES HAS PACE
    TORRES KNOWS HOW TO SCORE

    ReplyDelete
  12. mnaongea sana subirini j2 kama hamjamtimua Benitez. Nawaonea huruma sana sababu hiyo ndiyo nafasi ya MAN kuongoza league na hatuifanyii mzaha tunapiga bao tu.

    ReplyDelete
  13. Pamoja na mimi kupenda soka la England sana napenda kukuomba ufanye utafiti juu ya haya mambo madogo kuhusu takwimu ya soka letu la home.
    Tunajuwa Allan shearer ni mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi katika ligi ya england.
    *Haya ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kwenye ligi yetu?
    *Ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kwa klabu ya Yanga(Timu yangu)?
    *Ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kuliko wote kwa klabu ya Simba?
    *Ni mchezaji gani aliyefunga magoli mengi kwa Taifa stars?Watu wengi hatujui Pele/Ronaldo(Brazil)/Henry wetu ni nani?
    *Ni mchezaji gani aliyechezea Taifa stars mechi nyingi?
    Ukiweza kunipatia hivyi vitu nitashukuru.
    NB-Arsenal ni kiboko yaooo.

    ReplyDelete
  14. When u walk thru a storm hold ur head up high,and dont b afraid of the dark,at the end of the storm is a golden sky, N the sweet silver song of a lark ....Walk on thru the wind...walk on thru the rain ...tho'ur dreams be tossed n blown,.....walk on,walk on...with hope in ur hert...n u'll never walk alone even if upo marseille. its me.!

    ReplyDelete
  15. Tupe habari za Yanga, hatutaki livapul. Kwani sisi waingereza? Mbona waingereza hawashabikii Mtibwa? ebo?

    Mna hamu sana ya kumtumikia "slave master" wenu mpaka siku ya mwisho. Halafu eti mnajifanya miaka 46 ya uhuru; Uhuru gani mnao nyie hata kama kitu kidogo kama soka pia mnapenda vya wenzenu?

    Hivi na wewe Michuzi, kwanini unaamini uongo wako wewe mwenyewe na kujifanya kwamba hujui kuwa wewe hutoki uingereza, na wala hujazaliwa Liverpool?

    Najua hii hautoi-tundika. Ni moja tuu ya characteristics za CCM hizo.

    ReplyDelete
  16. Tupe habari za Yanga, hatutaki livapul. Kwani sisi waingereza? Mbona waingereza hawashabikii Mtibwa? ebo?

    Mna hamu sana ya kumtumikia "slave master" wenu mpaka siku ya mwisho. Halafu eti mnajifanya miaka 46 ya uhuru; Uhuru gani mnao nyie hata kama kitu kidogo kama soka pia mnapenda vya wenzenu?

    Hivi na wewe Michuzi, kwanini unaamini uongo wako wewe mwenyewe na kujifanya kwamba hujui kuwa wewe hutoki uingereza, na wala hujazaliwa Liverpool?

    Najua hii hautoi-tundika. Ni moja tuu ya characteristics za CCM hizo.

    ReplyDelete
  17. Mbona hampendi timu za wala vumbi???Kazi kushabikia timu za majuu.Au tambarare na kashfa za kukashifu majuu zinakoma kwenye mpira.Michuzi umehemewa mpaka ukatoa machozi!!!!Shingoni au???

    ReplyDelete
  18. Kha hiyo picha mbona kama Most wanted fugitive???

    ReplyDelete
  19. kaka michuzi tunaelewa fika kama wewe ni gwiji la liverpool lakini kinachotushangaza kuvaa hizo kofia za baridi na skafu wale wenzenu wa ughaibuni huvaa hizo kwasababu ya baridi kali,kwa ushauri wangu tafuta baseball cap.

    ReplyDelete
  20. Aise vipi...unasumbuliwa na bangi babu?

    ReplyDelete
  21. MICHUZI....MIMI NINA SWALI KWA MDAU ANAYESHANGAA WATANZANIA KUWA WANAZI WA SOKA YA UINGEREZA....ANAJIDAI YEYE MZALENDO WA KUTUPA....SWALI LANGU KWAKE..JE,YEYE KUANZIA VAZI,DINI,LUGHA,CHAKULA,KINYWAJI...JE HUTUMIA LOCAL STUFF?KWA MAANA YA POMBE MNAZI,MBEGE KUTEGEMEA NA KIJIJINI ANAPOTOKEA,VAZI NI KANIKI AU LUBEGA?HUYO NAHISI ATAKUWA AINA YA KINA BITOZI NYANGEMA....VINGINE AKIIGA TOKA NJE SAWA...ILA MPIRA TU NDIO HATAKI...BWEGE SANA HUYO NYANGEMA

    ReplyDelete
  22. I think the guy is on something???? weed or somemmm'!!!!!

    ReplyDelete
  23. issah ukihemewa uwe unaandika basi sa mbona kimya kufungwa ni ubovu tu wa timu hamna cha bwawa la maini wala figo si umeona imamarati tunavyo songa?

    ReplyDelete
  24. lia tu si umefungwa timu mbovu mnaongea sanaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...