Aww.. mambo vipi? Baby Hussein Muhdin anatoa salamu za Idd Al Hajj kwa wadau wote na anawaombea dua waliokwenda kuhiji warudi salama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. W/m baby, ahsante nawe mungu akupe afya njema na masiha marefu nawe uwende hijja katika uhai wako.
    mmmmwaaaaaa baby boy

    ReplyDelete
  2. maalim baby hussein tunashukuru kwa salaam zako na sisi tunakutakia heri ya krismasi bila kuwasahau wanaokuchange diaper nao uwape salaam zetu pia

    ReplyDelete
  3. HA HA HA HA..TEH TEH TEH

    MR MUHIDIN ISSA MITHUPU THAT KID MUST BE YOUR SON!! HA HA HA!! NDOA IMEJIBU EEH? AU NI YA MKEKA MZEE?

    SINCE YOU ARE A STAUNCH LIVERPOOL FAN I PROPOSE THAT YOU NICKNAME YOUR SON "Ryan Babel" BECAUSE THAT BOY WILL DEFINATELY SCORE TWO GOALS AGAINST MAN U..SCUM..ON SUNDAY MARK THIS SPACE

    ReplyDelete
  4. Hi Baby Hussein, mimi na familia yangu pia tunakutakia wewe na Baba yako na Mother Eid el Hajj njema. Mungu akubariki, najua Eid ya mwakani utakuwa unaweza kula punga mwenyewe : O'C - Sinza

    ReplyDelete
  5. Mungu akujalie nawe mwaka ujao uweze kusimama dede na kutembea, na kuweka nyuso za furaha kwa wazazi wako.

    ReplyDelete
  6. WWTW,Mashallah,mtoto utakua bonge la handsome.Na mie na familia yangu tunakutumia salamu za EID EL HAJJ kwako na familia yako, M/Mungu akukuze na akupe afya njema.Na uwe mtoto mwema kwa wazee wako.

    ReplyDelete
  7. He is such a cute baby...xmas njema wewe na familia yako.

    ReplyDelete
  8. dah mzee michu naona kadau haka katakakuwa bila kamera kitandani hakulaliki!

    ReplyDelete
  9. he he he anaonekana mtoto atakuwa mapepe kama baba yake, si wamuona macho hayo anaangalia kimachale! we baby hakuna ´kushika camera sawa?!! njoo hospitali huku tuwapasue watu vichwa badala ya miguu..

    ReplyDelete
  10. he he he anaonekana mtoto atakuwa mapepe kama baba yake, si wamuona macho hayo anaangalia kimachale! we baby hakuna ´kushika camera sawa?!! njoo hospitali huku tuwapasue watu vichwa badala ya miguu..

    ReplyDelete
  11. Michuzi, kababy kako kazuri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...