Home
Unlabelled
salaam za baby hussein
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
W/m baby, ahsante nawe mungu akupe afya njema na masiha marefu nawe uwende hijja katika uhai wako.
ReplyDeletemmmmwaaaaaa baby boy
maalim baby hussein tunashukuru kwa salaam zako na sisi tunakutakia heri ya krismasi bila kuwasahau wanaokuchange diaper nao uwape salaam zetu pia
ReplyDeleteHA HA HA HA..TEH TEH TEH
ReplyDeleteMR MUHIDIN ISSA MITHUPU THAT KID MUST BE YOUR SON!! HA HA HA!! NDOA IMEJIBU EEH? AU NI YA MKEKA MZEE?
SINCE YOU ARE A STAUNCH LIVERPOOL FAN I PROPOSE THAT YOU NICKNAME YOUR SON "Ryan Babel" BECAUSE THAT BOY WILL DEFINATELY SCORE TWO GOALS AGAINST MAN U..SCUM..ON SUNDAY MARK THIS SPACE
Hi Baby Hussein, mimi na familia yangu pia tunakutakia wewe na Baba yako na Mother Eid el Hajj njema. Mungu akubariki, najua Eid ya mwakani utakuwa unaweza kula punga mwenyewe : O'C - Sinza
ReplyDeleteMungu akujalie nawe mwaka ujao uweze kusimama dede na kutembea, na kuweka nyuso za furaha kwa wazazi wako.
ReplyDeleteWWTW,Mashallah,mtoto utakua bonge la handsome.Na mie na familia yangu tunakutumia salamu za EID EL HAJJ kwako na familia yako, M/Mungu akukuze na akupe afya njema.Na uwe mtoto mwema kwa wazee wako.
ReplyDeleteHe is such a cute baby...xmas njema wewe na familia yako.
ReplyDeletedah mzee michu naona kadau haka katakakuwa bila kamera kitandani hakulaliki!
ReplyDeletehe he he anaonekana mtoto atakuwa mapepe kama baba yake, si wamuona macho hayo anaangalia kimachale! we baby hakuna ´kushika camera sawa?!! njoo hospitali huku tuwapasue watu vichwa badala ya miguu..
ReplyDeletehe he he anaonekana mtoto atakuwa mapepe kama baba yake, si wamuona macho hayo anaangalia kimachale! we baby hakuna ´kushika camera sawa?!! njoo hospitali huku tuwapasue watu vichwa badala ya miguu..
ReplyDeleteMichuzi, kababy kako kazuri!
ReplyDelete