Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akihutubia wananchi wa kijiji cha usangi Wilayani Mwanga mara baada ya kufungua rasmi shule ya sekondari ya kijiji hicho leo, ambapo ameahidi kuchangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa madarasa ya shule hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. haka kajamaa huwa nakaonaona kwenye picha hivi kazi yake ni nini? au kana cheo gani

    ReplyDelete
  2. usangi kuna milima. Nilikwenda mara moja nikajuta nikamwambia my hubby huko sipandi tena.

    ReplyDelete
  3. Hivi kweli jamani, huyu jamaa kazi yake huwa ni nini hasa? Maana naona kama yupo yupo tu!

    ReplyDelete
  4. Napenda kusahihisha kepsheni kidogo tu. Usangi sio kijiji kama ilivyoelezwa hapo hiyo ni moja ya Tarafa za Wilaya ya Mwanga ina vijiji kibao na shule lukuki za msingi na sekondari tangu enzi na enzi. Sasa hiyo iliyopewa milioni 3 hatujui ni ipi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...