Home
Unlabelled
dk. shein ziarani kilimanjaro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haka kajamaa huwa nakaonaona kwenye picha hivi kazi yake ni nini? au kana cheo gani
ReplyDeleteusangi kuna milima. Nilikwenda mara moja nikajuta nikamwambia my hubby huko sipandi tena.
ReplyDeleteHivi kweli jamani, huyu jamaa kazi yake huwa ni nini hasa? Maana naona kama yupo yupo tu!
ReplyDeleteNapenda kusahihisha kepsheni kidogo tu. Usangi sio kijiji kama ilivyoelezwa hapo hiyo ni moja ya Tarafa za Wilaya ya Mwanga ina vijiji kibao na shule lukuki za msingi na sekondari tangu enzi na enzi. Sasa hiyo iliyopewa milioni 3 hatujui ni ipi.
ReplyDelete