Home
Unlabelled
kylnn atumbuiza yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Just look at those faces just shows how much this afternoon meant to them... I know I cann't change the world but if we all do just Kidogo it will make such a difference to these kids. Michuzi naomba kama mtu ana wazo ambalo litatuwezesha wana blogg hii kusaidia watoto TZ akupatie. Post it and see if we can do something. I am very touched by this.
ReplyDeletekazi nzuri sana Jacq.
ReplyDeleteInapendeza kuona unapata muda wa kuwaburudisha hao watoto.
Kila la kheri mwaka 2008 endela kuwa shika.
hili toto zuri sana na linavutia kweli kweli,naona na msondo umeongezeka siku hizi unakula nini dada? yaani umependeza sana ,kama huna mtu tuwasiliane maana nishakupenda hata kabla hatujajuana na michuzi fanya kazi yako kifuta jasho kitatolewa ili ununue shati mpya maana na wewe unahitaji ukarabati kidogo wa mavazi na viatu!
ReplyDeletekwa kuwa ni yatima basi ndo aende na malapa!! sijapenda. amewashusha hadhi, kwamba hawastahili kokoko zake.
ReplyDeleteBro Michuzi,
ReplyDeleteNakubali usemi kuwa ukitaka kumchagua mwenzi wako subiri mpaka siku ya siku umuone ktk mazingira ya kawaida awe kavaa malapa au sandozi za bei poa.
Nashukuru picha hii ya Kyln inamwonyesha hali halisi alo'jaaliwa na mwenyezi mungu. Hakika kweli hapo Kyln yupo ktk hali ya kawaida kabisa na hivyo kutokana na hilo najiandaa kuwasiliana nawe Bro Michu kuwa kwa vile wewe nw Kyln wote ni watoto wa Upanga, naomba uwe mshenga wangu maana nitalokwambia utamwambia kwa lugha yenu.
Mie
Mdau Namba 1234
Ontario
Natamani ku adopt mtoto huko nyumbani. Inawezekana? Ingekua vizuri watanzania tukaaanza kuadopt watoto wetu kama hawa! They r so cute!
ReplyDeleteWatu wengine bwana.... yaani ktk vitu vyote vya maana wao wanaangalia mtu kavaa nini? Mmeshasahau kuwa Wafrika nguo kaiga kwa wazungu? Acheni ushamba kama hamna point kaa kimya.
ReplyDelete