Msanii Klynn akiwaimbia watoto waishio katika mazingira magumu katika hafla ya chakula cha mchana iliondaliwa na balozi wa palestina Mh. Yusuf habab nyumbani kwake Oysterbay wikiendi hii. watoto hao wanalelewa na Tanzania Mitindo House inayoongozwa na Hadija Mwanamboka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Just look at those faces just shows how much this afternoon meant to them... I know I cann't change the world but if we all do just Kidogo it will make such a difference to these kids. Michuzi naomba kama mtu ana wazo ambalo litatuwezesha wana blogg hii kusaidia watoto TZ akupatie. Post it and see if we can do something. I am very touched by this.

    ReplyDelete
  2. kazi nzuri sana Jacq.

    Inapendeza kuona unapata muda wa kuwaburudisha hao watoto.

    Kila la kheri mwaka 2008 endela kuwa shika.

    ReplyDelete
  3. hili toto zuri sana na linavutia kweli kweli,naona na msondo umeongezeka siku hizi unakula nini dada? yaani umependeza sana ,kama huna mtu tuwasiliane maana nishakupenda hata kabla hatujajuana na michuzi fanya kazi yako kifuta jasho kitatolewa ili ununue shati mpya maana na wewe unahitaji ukarabati kidogo wa mavazi na viatu!

    ReplyDelete
  4. kwa kuwa ni yatima basi ndo aende na malapa!! sijapenda. amewashusha hadhi, kwamba hawastahili kokoko zake.

    ReplyDelete
  5. Bro Michuzi,
    Nakubali usemi kuwa ukitaka kumchagua mwenzi wako subiri mpaka siku ya siku umuone ktk mazingira ya kawaida awe kavaa malapa au sandozi za bei poa.
    Nashukuru picha hii ya Kyln inamwonyesha hali halisi alo'jaaliwa na mwenyezi mungu. Hakika kweli hapo Kyln yupo ktk hali ya kawaida kabisa na hivyo kutokana na hilo najiandaa kuwasiliana nawe Bro Michu kuwa kwa vile wewe nw Kyln wote ni watoto wa Upanga, naomba uwe mshenga wangu maana nitalokwambia utamwambia kwa lugha yenu.
    Mie
    Mdau Namba 1234
    Ontario

    ReplyDelete
  6. Natamani ku adopt mtoto huko nyumbani. Inawezekana? Ingekua vizuri watanzania tukaaanza kuadopt watoto wetu kama hawa! They r so cute!

    ReplyDelete
  7. Watu wengine bwana.... yaani ktk vitu vyote vya maana wao wanaangalia mtu kavaa nini? Mmeshasahau kuwa Wafrika nguo kaiga kwa wazungu? Acheni ushamba kama hamna point kaa kimya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...