Once a year we celebrate with stupid hats and plastic plates,the fact that I am able to make another trip around the sun.(gasp)

And the whole clan gathers round' gifts and laughter too will bound,we let out a joyful sound and sing that stupid song. "HAPPY BIRTHDAY."

So lets drink to your fading health, and hope you don't remind yourselfyour chance of finding fame and wealth decrease with every year. Does it feel like your doing laps, and eating food and taking naps,and hoping that some day, perhaps, your life will hold some cheer.

LOVE YOU ALL.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. Ohh baby girl, always u look stunning. That hat was on the show of Sophia Lhullier. Baby sikuwezi.
    Rachel, I heard you have two birthday Bashes one in Arizona the 29th and another one in Los Angels. Jamani tunaalikwa?? Kwani nasikia ya LA imeandaliwa na DMS Entertainment, walio waleta waakina Ciera, Neyo, Akon, T-Pain, Faboulous and Alicia Keys. Je tutapata mualiko?? Kwani hao DMS are doing good.
    Please kama kuna mualiko I swear mimi nakuja LA. Wewe nialike tuu.
    Kaka Michuzi je unaweza ukanipa Contact za huyu binti kwani am so excited to meet her.
    HAPPY BIRTHDAY RACHEL TAMUUUU.

    ReplyDelete
  2. We understand that michuzi unapenda totos,but pliiz pliiz punguza matanagazo ya uzuri(urembo) kwenye blog yako.

    ReplyDelete
  3. Mbona kofia yake inaficha uso wake? Vipi ameolewa?

    ReplyDelete
  4. Huyu Mzee Temu alifyatua mabinti. Asikuambie mtu.... Michuzi hv alishinda shindano fulani hv km la uzushi... ni la u-model I guess. Lilifanyika US pia..

    ReplyDelete
  5. Who is she!!!! why should she advertise her bafudei!!!

    ReplyDelete
  6. HEllo rachel! I am not sure if this is Rachel Temu, coz I can not recognize her face well. Please bro Michu, make us clear we really miss this dada! If she doesnt mind please let us know her e-mail.

    ReplyDelete
  7. Ni wewe Binti uliyekuwa Makongo? mdogo wake na Hoisi temu? Happy birthday mamaa

    ReplyDelete
  8. Wewe anony namba mbili acha ujinga wewe. This is MICHUZI PERSONAL Blog. He has a right to control this blog because it belongs to him. This is not a blog for Tanzanian government therefore stop acting and open u cerebellum kabla hujaandika kitu.
    Kama anapenda totoz, ameandika wasichana wangapi na atawapenda wangapi?? Huna adabu wewe Anony namba mbili.
    Dada recho umependeza napenda kukutakia Happy Birthday ndugu yangu. Forget about the haters. Always looking gud watatia akili mwaka huu. Enjoy ur birthday baby girl

    ReplyDelete
  9. Mwanamke unaonekana una maringo wewe!!ungefunua uso kidogo tukupe haki yako kama mzuri au la!si umeona mambo ya chibiriti!!yeye open tuu na kompyuta yake ya mwaka 47,sasa kufunika uso ndio nini?na mabega juu kama una pumu!!weka picha nzuri ya birthday yako..HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!HOW OLD ARE YOU NOW????

    ReplyDelete
  10. Naomba huyo mtoto mwenye Kofia hapo juu anitafute nitamuondoa bongo na kumuleta majuu ninapoishi. Niandikie kwenye email yangu kama unavyoiona hapa. emmakiofvya@yahoo.com

    ReplyDelete
  11. Kofia imeficha uso!! Usichofahamu kitugani? ANA KIPARA HUYOO!!

    ReplyDelete
  12. Huyu kama siyo Mbilia Bel,I'll be damned!Totoooooooooooooooooooooz!
    Motttttttttttttttttooooooooooooz!
    Matatizooooooooooooooooooooooooz!
    KANGOMA!Makubwa haya,mashavu ya kumimina,Shingo ya Upanga,Pua ya Mshumaa,Midomo ya Kumwaga,Macho ya Kusinzia,Masikio ya Mbinuko,Ya huko Chini siyajui kwani picha imeishia mabegani,laiti,wadau mtanisamehe ningeendelea.Swali:Mshahara utapona kweli?Tumekufa!Michuzi acha kutu Beep Mzee!TeheTeheTeheTehe!

    ReplyDelete
  13. Namtamani sana huyu mtoto anasomeka ni mtamu sana cheki lips zake ziko so wet kinoma.

    Kaka michuzi hebu nivutie macontact na yuko wapi kwa sasa

    ReplyDelete
  14. wewe anony wa kwanza ndio nini kutufanya sie mabwege ka huyo rasheli wako??wajifanya kumuelezeaaa ohh mara ana bash mbili za bday yake mara sijui nini na nini mara fede fede fede..alafu kumbe mwishoni hujawahi hata onana nae huyo mtu wajipendekeza tuu kutaka kumuona!!
    kwa nini na lipi alilonalo hadi afanyiwe party na watu waliowaleta kina tpain sijui kina akon??si bora hata wangemfanyia kitu hasheem thabeet mbongo anayepeperusha bendera yetu kwenye kikapu kuliko this other slaatiiii!!??she aint as good as anavyoonekana kwenye picha in everything kuanzia tabia (nyodo etc) hadi masomo plus maisha...

    though ni mzuri n anastahili kuwishiwa happy bday ila sio kutudanganya kitoto hivyoo wajimini...

    we anony umeniboa sana au ni mwenyewe nini kaandika?

    ReplyDelete
  15. Yeah, hii lipstick uliopaka ni bomba. Achana na zile nyekundu.. Huwa zinatisha kwa kweli

    ReplyDelete
  16. Wajameni telli me who is she? Ni Bongo selebriti, ua ni Amerikan selebriti au ni nani wajameni mbona siye kina masanja hatumjui, yeye ni mkandamizaji wa wapi mwanawani?

    Ni festi ledi maana makofia hayo nayaonaga wanavaa mafesti ledi au ni nani wajameni kwenye duru hii au ni kama kaka yangu Chibiliti cha Italy?

    Aha haya bwana ngoja tukupe hepi besidei to you. Na u drink to your fading health! Mine is good is not fading! Im sitirong as a texan horse!

    Nimejaribu na mie kizungu sijui nimepatia?

    ReplyDelete
  17. Jamani labda mimi bado nipo nyuma. Hebu niambieni huyu dada ni nani?
    Maana watu wanasherekea sikukuu za kuzaliwa kila siku..sasa kwa nini ya kwake iwe "big deal"!!

    ReplyDelete
  18. Jamani mbona sura yake ni ya kawaida tu.Ni hizo hizo sura za kibantu isipokuwa makeup tu hizo, na ukitaka mtu kuujua uzuri wake kama ana makeup mwambie atoe hizo makeup hapo ndio utajua uzuri wa mtu.

    ReplyDelete
  19. Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... Uzuri dada Huyu anao sana, sasa kama ninyi hamtakii hayo ni matatizo yenu na shetani lenu..Rechael mimi sikufahamu lakini nilikuw LA nikakusia sana kwa Wanseho Stanley dada yake na Harriet Stanley wa LA town, na kufungu ukurasa huu aliniambia jinsi ulivyo mkarimu na mwenye sense of humour na wewe ndio wewe.. Cute babe, Sexy Mama.

    ReplyDelete
  20. sio kabaya na kanaridhisha tuu,nafikiri niliwahi kumuona Wisconsin sina uhakika lakini,dada yako yuko wapi maana tumekula naye sana raha Minnesota na Iowa..mpe hi mwambie anakuja lini midwest ili tuendeleze na siku hizi mambo huku safi sana.

    ReplyDelete
  21. wana blogu mmemsahau mgombania miss afrika U.S.A alierepresent Tanzania na kura tukampigia ... wajemeni

    ReplyDelete
  22. Wee anon. wa kwanza who is SOPHIA LHULLIER? Kujidai unajua fashion kumbe hovyo, do your homework b4 kurukia rukia mambo. Kwanza hiyo kofia mie niliiona TJ MAXX:-) By the way in fashion world there's only one "Lhuillier" and that's "Monique Lhuillier" note the spelling ndio uka-google vizuri....
    B'day girl mwenyewe katoka Macy's kupata free MAC make-up, kapendeza,halafu akavuta mapozi weeeeeee mpaka likapatikana hili lililopigiwa kura na wajumbe. I can only imagine how many pics were deleted b4 approving this one:-)
    Love the lip stain color though:-) I guess itabidi nami niende MAC, ama ni bobbi makeup?

    ReplyDelete
  23. Happy bday dada,hongera. Ila hizi kofia nimezoea kuziona kwenye mashamba ya mpunga thailnd na pia kwa wabibi wabibi hivi. Imekutoa......

    Mkulima
    Thai

    ReplyDelete
  24. Hepi besidei Rachel!!! Wishing you all the best. Pokea simu dear, mwanangu wants to wish u a happy b'day!!
    Kwa wasiomjua Rachel is Miss Tanzania USA!!!!
    She is a very nice girl, hana maringo wala nini na yuko very friendly!!!

    ReplyDelete
  25. hepi bei dei Rachel,mwaga kachori basi na si walalahoi tuonje mnuso!!!!

    ReplyDelete
  26. Sasa msiassume kuwa kila mtu anamjua eti kwa kuya yuko US au alikuwa miss TZ huko US, hilo shindano nadhani ni maarufu huko huko US wengine ndio mara yetu ya kwanza kumuona tukawa tunajiulia huyu tena nani? Makubwa hata kwenye list ya maselebriti wa bongo hatujamsikia maana hata yule dada nanihii cynthia wa mwanza angalau alijitangaza leo sura yake ikirudi tena hapa ooh tunamjua sasa

    ReplyDelete
  27. Yaani nasoma hizi comment nasikitishwa na jinsi gani wabongo wengi tulivyo na viroho korosho !! ndio maana hatuendelei picha tuu ya mtu inawaisha maneno yaani its a shame popote pale tulipo duniani its all the same !!!!!!!!!!! we have to change or else tutazidi kuangamia ....Roho mbaya tuu na unafiki !!! shame shame shame.....!
    Happy birthday Rachel !!

    ReplyDelete
  28. Dont mind the haters........they will never progress in this world with their shallo minds !!! Anyway I JUST LOVE THE POETIC MESSAGE accompanying your beautiful pic !! very well crafted .....beauty as well as brains !! you go girlfriend !! Keep up the attitude
    and happy growing old !!

    ReplyDelete
  29. Nyinyi mliondika hapo juu ndio humuelewi maana ya blog au forum. Mtu ukiweka picha au mada yako hapa ni lazima ijadiliwe..kila mtu anajua hili.Sio waTZ tu wanafanya hivi, warusi, wachina, waingereza nk wote wanachangia mambo haya kwa njia tofauti.

    Kama hutaki, basi usiweke masuala yako huku kwani kila mtu anajua yataonwa na watu wenye fikira tofauti na kujadiliwa kitofauti.

    ReplyDelete
  30. kujishaua tu huku wala mablack hawafagilii haya makofia ...sijui kaliengua wapi lake eti once a year kama poem sijui kagoogle wapi haya maneno....acheni hizo wote tuko huku and we know everything muwadanganye hao hao wasiojua kitu.

    ReplyDelete
  31. Huyu lazima atakua anaishi Iowa, akansas, arizona, Kansas au missouri. Huko vijijini wanafagilia makofia ya queen Elizabeth.

    ReplyDelete
  32. AHH! Rachel kujibinua, haya bwana Hepi besdei!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...