mbunge wa kyela mh. harrison mwakyembe akiwa na waziri wa nchi ofisi ya rais (menejimenti ya umma) bungeni. waziri muu mh. mizengo pinda (pichani juu) leo mchana ameahirisha kikao hicho cha 10 cha bunge hadi aprili 8, 2008.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wadau, hivi wanavyosema ni kikao cha 10 wanamaanisha nini? Ina maana kikao cha 10 toka awamu ya 4 ianze au... Msaada katika tuta hapa.

    ReplyDelete
  2. Big up Hard man (Mwakyembe) together we stand.

    ReplyDelete
  3. Ebwana, mzee Mwakyembe amekata ringi kinoma.
    Mwanangu..Mziki wa Richmond ulikuwa mnene Vipi!!?
    Jamaa ameisha kabisa inaelekea hakuwa akipata usingizi wa kutosha.
    Ila matunda ya kzai yako tumeyaona na tunakukubali mzee.
    Mungu aendelee kukupa ujasiri na moyo huo huo.
    GOD BLESS

    ReplyDelete
  4. inamaanisha waziri mkuu ni huyo mama.au nae aitwa jina linalofnana na waziri mkuu!!!!!!!!!!!!!
    mdau.

    ReplyDelete
  5. muda si mrefu watampa huyu Mwakawaembe uwaziri wamnyamazishe.Huwezi kucheza na sirikali ya chichiemu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...