Kaka Michuzi,
Huyo ni rafiki yangu Chichi baada ya kufanya diet, hiyo ndio surualialiyokuwa anavaa kabla ya kufanya diet
Mdau
Rhxoqsa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hapo kwetu hamna haja ya dayati kwani kila kitu fresh,hali ya hewa safi,jasho linatoka kama mafuriko ya Rufiji...Huyo bwana hilo suruali sio lake bali ni mtumba na anaichukua kwa fundi cherehani ili akaisawazishe ili imfiti kiuno chake...kwa hiyo wacha udanganyivu!!!
    Lakini Suruali hilo litamtosha bwana Mkapa!!!

    ReplyDelete
  2. Wewe ngoja waosha vinywa waamke usingizini ndio utakoma,,,nakuonea huruma sana kuweka picha yako hapo

    ReplyDelete
  3. Hongera sanaaaana. Nadhani utaweza kubakia hivyo hivyo...Isijekua yo yo diet.

    I hope wabongo wengi watafungua macho sasa...Unene sio utajiri wala afya jamani.

    Hongera sana and I am happy for you.

    ReplyDelete
  4. MMH MICHUZI HUYU JAMAA NI KIBOKO!! MIE NAOMBA ASEME TU NI MBINU GANI KATUMIA MAANA WENGINE TUNA UNENE W AKUTISHA SASA !!

    ReplyDelete
  5. ana homa huyo

    ReplyDelete
  6. Acha magrini! Kama mtu alikuwa mnene kiasi hicho halafu kakonda, huko Bongo watu wanasema anakufa na UKIMWI! kweli hiyo ni mtumba. Anaweza kushona suruali mbili hapo.

    ReplyDelete
  7. hivi we chihi hujaacha utundu tu,nilikukuta cbe nikasoma nikamaliza nikakuacha, ukashindwa kuperform ukarudi nyumbani,bado hujakua tu sasa ndio nini kutudanganya wakati mwili wako sio mnene kama hiyo suruali inavyoonyesha, kwanza wewe ni mtu wa mazoezi na toka tusome na wewe sijawahi kukuona unanenepa kwani mpira ulikua unacheza sana na kutufunga sisi watu wa advance pale cbe, nikakukuta mtaani ukiwa fit
    wala hukua na minyama uzembe usitudanganye wenzio bwana

    ReplyDelete
  8. kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi, tehe tehe taha taha taha, chichi samaka, kwi kwi kwi, huyu jamaa yangu mtu wa vituko sana!hakua mnene siui kautoa wapi huo msulupwete! naona uko bonga bar hapo.umenikumbusha mbali kwelikweli! poa homeboy. jones, UK.

    ReplyDelete
  9. Kwa hiyo baada ya kukonda akawa na mfupi pia?
    Hiyo suruali ya mtu mrefu bwana.

    ReplyDelete
  10. Du,jamaa kaisha!!itakua ngoma tu,KAKANYAGA MIYAWA HUYO!

    ReplyDelete
  11. Urefu wa suruali pamoja na sura ya jamaa havina uwiano. Mtu ambaye alikuwa mnene wa kutosha hiyo suruali lazima sura yake iwe pana kuliko ilivyo ya jamaa.

    ReplyDelete
  12. NUTTY PROFFESOR...EDDIE MURPHY Ha ha ha haaaa

    ReplyDelete
  13. Wee! Chichi Samaka acha kutufunga kamba huo unene uliutoa wapi? wakati muda wote mnakata vinywaji na mdogo wako Toni hapo bonga bar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...