Home
Unlabelled
dayati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo kwetu hamna haja ya dayati kwani kila kitu fresh,hali ya hewa safi,jasho linatoka kama mafuriko ya Rufiji...Huyo bwana hilo suruali sio lake bali ni mtumba na anaichukua kwa fundi cherehani ili akaisawazishe ili imfiti kiuno chake...kwa hiyo wacha udanganyivu!!!
ReplyDeleteLakini Suruali hilo litamtosha bwana Mkapa!!!
Wewe ngoja waosha vinywa waamke usingizini ndio utakoma,,,nakuonea huruma sana kuweka picha yako hapo
ReplyDeleteHongera sanaaaana. Nadhani utaweza kubakia hivyo hivyo...Isijekua yo yo diet.
ReplyDeleteI hope wabongo wengi watafungua macho sasa...Unene sio utajiri wala afya jamani.
Hongera sana and I am happy for you.
MMH MICHUZI HUYU JAMAA NI KIBOKO!! MIE NAOMBA ASEME TU NI MBINU GANI KATUMIA MAANA WENGINE TUNA UNENE W AKUTISHA SASA !!
ReplyDeleteana homa huyo
ReplyDeleteAcha magrini! Kama mtu alikuwa mnene kiasi hicho halafu kakonda, huko Bongo watu wanasema anakufa na UKIMWI! kweli hiyo ni mtumba. Anaweza kushona suruali mbili hapo.
ReplyDeletehivi we chihi hujaacha utundu tu,nilikukuta cbe nikasoma nikamaliza nikakuacha, ukashindwa kuperform ukarudi nyumbani,bado hujakua tu sasa ndio nini kutudanganya wakati mwili wako sio mnene kama hiyo suruali inavyoonyesha, kwanza wewe ni mtu wa mazoezi na toka tusome na wewe sijawahi kukuona unanenepa kwani mpira ulikua unacheza sana na kutufunga sisi watu wa advance pale cbe, nikakukuta mtaani ukiwa fit
ReplyDeletewala hukua na minyama uzembe usitudanganye wenzio bwana
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi, tehe tehe taha taha taha, chichi samaka, kwi kwi kwi, huyu jamaa yangu mtu wa vituko sana!hakua mnene siui kautoa wapi huo msulupwete! naona uko bonga bar hapo.umenikumbusha mbali kwelikweli! poa homeboy. jones, UK.
ReplyDeleteKwa hiyo baada ya kukonda akawa na mfupi pia?
ReplyDeleteHiyo suruali ya mtu mrefu bwana.
Du,jamaa kaisha!!itakua ngoma tu,KAKANYAGA MIYAWA HUYO!
ReplyDeleteUrefu wa suruali pamoja na sura ya jamaa havina uwiano. Mtu ambaye alikuwa mnene wa kutosha hiyo suruali lazima sura yake iwe pana kuliko ilivyo ya jamaa.
ReplyDeleteNUTTY PROFFESOR...EDDIE MURPHY Ha ha ha haaaa
ReplyDeleteWee! Chichi Samaka acha kutufunga kamba huo unene uliutoa wapi? wakati muda wote mnakata vinywaji na mdogo wako Toni hapo bonga bar
ReplyDelete