Home
Unlabelled
fweza ya nanihiii?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
brother michuzi huo mkwanja alikutwa nao zungu la kimexico mwenye asili kichina mjini mexico city alikuwa na around 200 mil(usd.
ReplyDeleteRemy aliimba kuwa, anaonewa kwavile yeye ni maskini. "Ngedere kala mahindi nikaambiwa ni mimi, Nguruwe kala Migoho nikaambiwa ni mimi".
ReplyDeleteHata huyu kigogo wa EPA, wanamsingizia eti kwa vile ameshaonekana kuwa ni mwizi.
"Kila mtu ni mwizi wa aina yake"
hivi huyo jamaaa alichukua dakika ngapi kuhesabu hilo kwanja?.
ReplyDeletenakumbuka huyo msela alikamatiwa Maryland kwenye restaurant.
ReplyDeleteMdau VA
huyo mtu aliyefanya hivyo ni mjinga na upotoshaji wa jamii.naona kaongezea hela za kitanzania kwenye hio picha ya juu.anatakiwa akamatwe huyo mtu kwani ni mpotoshaji wa jamii kwa njia ya uchonganishi.
ReplyDeleteFedha za Richmonduli
ReplyDeletesasa ya nini mnatuonyesha vijikaratasi hivyo vya kiharamu au mnazitamani???...si pesa tu,leo iko kesho hamna!wahenga wakasema uharamu huo ni mizizi ya maovu yote duniani...naam kweli!!!
ReplyDeleteMICHUZI MIMI NAITWA moremoney na ni muuza madawa ya kulevya hapa ulaya longtime lakini napinga wale wanauza madawa bongo,kwani muilani miaka ya tisini wakati napita pale alikuwa anauliza kama unaenda ulaya nakuruhusu kawape wazungu wawe vichaa.lakina kama unaenda africa nakupiga kioo'exray)hii picha inanipa raaha ya pesa za madawa ya kulevya kwani mnayahona hayo,,,bebeni box mkikwama niko holland.
ReplyDeleteLOWASSA ALITAKA AWE KAMA HAWA JAMAA.
ReplyDeleteNanihii? - Ninihii=unapotaja kitu
ReplyDeleteNanihuyu - Nanihino=unapotaja mtu
Jamani michu mwalimu wangu wa kichwahili alikua mkali sana juu ya haya maneno tulipokuwa tukiyatumia vibaya lugha yetu ukitaka kurembesha zaidi ungetumia nanihilia au ninihilia
Michu,
ReplyDeleteHii system ya wenzetu iko tight mno, huwezi kuingiza mihela yako unayoipata kiufisadi kwenye system. Watu wanafukia mihela yao kama medieval era, lakini bongo watu wanafanya deposits za mamilioni na hakuna hata anayeuliza kulikoni? Hapa USA ni sheria ukideposit more than $10,000 at a pop lazima benki wajaze form with your particulars na kuzipeleka FBI ili uangaliwe vizuri nyendo na maisha yako. Hii ndio njia moja ya kupigana na mihela illegal!
Ni kweli kabisa alivyosema mdau wa 12:00PM. Ukiingia USA na zaidi ya $10,000 ni lazima uzi-declare. usipo declare wanachukua! Pia uki deposit benki zaidi ya $10,000 ni lazima waziripoti. Wajanja wanaweka $9,999 kusudi wasiwe reported.
ReplyDeletePia kuna Anti-Money Laundering policies kali sana. Kwa hiyo ingekuwa vigumu kwa huyo jamaa kuhalalisha hizo pesa nyingi hivyo.