kaka michuzi
mambo vipi?hongera kwa kufanya kazi kubwa ya kutuletea habari na matukio ya nyumbani(tz) kwa wakati mwafaka!
kaka,ombi langu kwako ni kwamba namtafuta SWAHIBA wangu aitwae RAYMOND FRED MTOI,huyu jamaa nilikaa nae KIJICHI kipindi cha miaka ya 95,mara ya mwisho nilisikia alienda UK.
mambo vipi?hongera kwa kufanya kazi kubwa ya kutuletea habari na matukio ya nyumbani(tz) kwa wakati mwafaka!
kaka,ombi langu kwako ni kwamba namtafuta SWAHIBA wangu aitwae RAYMOND FRED MTOI,huyu jamaa nilikaa nae KIJICHI kipindi cha miaka ya 95,mara ya mwisho nilisikia alienda UK.
nimejaribu kumtafuta sana lakini sjafanikiwa,hivyo kama atanisoma hapa kwako au kama kuna mtu mwenye kufahamu habari zake naomba tuwasiliane kwa e-mail hii;
hamzakissy@yahoo.co.uk
-----------------------------------------------------------------
Michuzi,
Mimi ni mmoja kati wa wadau wa blog hii ya jamii.Ninaitaji kusoma Diploma ya Information Technology Online,malengo yangu nikuja kupata degree,masters na Phd nikijaaliwa.
Naomba wadau wanisaidie websites za colleges ambazo nitaweza kujisajili na kuanza masomo kwa mwaka huu.
nilijaribu kutumia google,nikapata maelezo mengi sana.
vilevile nilijaribu www.cambrigetraining.com vilevile nikapata maelezo mengi ila kwa kuwa hapa mikumi mbugani mtandao upo very slow,nikashindwa kufatilia kipengele kimoja kimoja.
plz brother niwasilishie hii,najua blog yetu hii ina watu wenye details mbali mbali za ulimwengu mzima,naitaji direct website itakayo niwezesha kujisajili na kuanza masomo baada ya kuwapa chao,kwa njia ya account.
Barikiwa
mdau,
mdau,
Mikumi-Morogoro
Out of topic...Ila nimesikia Abdul Gul, rais wa Uturuki hatokuja(ilikua aje leo 26.2.2008) kutokana na mgogoro unaoendelea kati nchi yake naIrak. Swali la kizushi mbona jamaa hawaja andamana kupinga ujio wake kutokana na uvamizi wa nchi yake dhidi ya Irak...au ye ni poa tu akiwadunda?
ReplyDeleteHii message ni ya mdau anayetafuta shule, nenda www.rdi.co.uk or directly to Higher National Diploma in Business Information Technology link(http://www.rdi.co.uk/index.php?page=shop.product_details&flypage=shop.flypage&product_id=57&category_id=7&manufacturer_id=0&option=com_virtuemart&Itemid=70)
ReplyDeleteWith these guys unawexa kusoma diploma mpaka masters and they a straight forward,mimi nimemaliza masters nao.Next intake ya hii course ni April.
All the best Ndugu
www.adventtraining.com or www.skillstraining.com
ReplyDeletekutafuta vyuo si kazi ngumu, hata kuapta registration pia, we nenda tu goole, then ingiza Uk or England Univesities, itakupa list zote za universities kisha utachagua uipendayo na watukutumia prospectors na application forms bure, ni wewe kujaza tu na kuwapa michuzi yao.
ReplyDeleteMtoa mada,ni kweli kupata online education ni ngumu sana,kwa sababu unaweza kupata chuo kumbe ni matapeli wanaotafuta hela.Chuo lazima kitambulike kwa viwango vya kimataifa(accreditation).Hapa bongo tunayo bodi hiyo ambayo huangalia kiwango cha elimu,staff,materials kwa kozi na level hiyo.
ReplyDeleteBe careful ndugu yangu otherwise utaharibu muda na fedha zako na mwishoni ukaambiwa au kugundua hicho cheti hakitambuliki popote pale hasa bongo noma sana.