mshambuliaji hatari wa pan africa enzi hizo, kassim manara, akinyanyasa katikati ya uwanja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Na kulia namkumbuka Omar Kapera yaani kifua wazi!!!huo ni uwanja wa Karume hapo nyumbani Ilala

    ReplyDelete
  2. hii picha sio pan, ilikuwa yanga chipukizi ya 1973-74 walikuwa wanaitandika chipukizi ya simba kawa kawaida, walikuwemo adolph rishard, juma pondamali,mohamed mkweche,mohamed yahya tostao, gordian mapango,mwarami mohamed(RIP). simba walikuwa nicodemus njohole,george kulagwa,rahim,isiaka. cha ajabu chipukizi wote hawa walikuja wakafika mpaka taifa stars.

    ReplyDelete
  3. Michuzi hilo jina limenikumbusha tulipokuwa mayanki tukitumwa dukani kwenda kununua sabuni Mnara.....

    Anyway nilijua tu utanibania hii comment.

    Teh Teh Teh!

    ReplyDelete
  4. Mchuzi enzi izo ulishakua na camera?nakumbuka jinalako ni la zamani sana,kipindi icho tukimuona Mtu yoyote na camera tunamwita michuzi,kwa umri wangu nilidhani tendo la kupiga picture ndio michuzi

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu michuzi kwa kweli mpira ulikuwa zamani enzi za kina sunday manara na kina marehemu sembuli. sio wachezaji wa stars leo mara hereni na kusuka nywele na kula chips kavu mwili utaupata wapi. Nashauri mpira tuache tucheze bao kwani michezo ni mingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...