Home
Unlabelled
kassim manara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na kulia namkumbuka Omar Kapera yaani kifua wazi!!!huo ni uwanja wa Karume hapo nyumbani Ilala
ReplyDeletehii picha sio pan, ilikuwa yanga chipukizi ya 1973-74 walikuwa wanaitandika chipukizi ya simba kawa kawaida, walikuwemo adolph rishard, juma pondamali,mohamed mkweche,mohamed yahya tostao, gordian mapango,mwarami mohamed(RIP). simba walikuwa nicodemus njohole,george kulagwa,rahim,isiaka. cha ajabu chipukizi wote hawa walikuja wakafika mpaka taifa stars.
ReplyDeleteMichuzi hilo jina limenikumbusha tulipokuwa mayanki tukitumwa dukani kwenda kununua sabuni Mnara.....
ReplyDeleteAnyway nilijua tu utanibania hii comment.
Teh Teh Teh!
Mchuzi enzi izo ulishakua na camera?nakumbuka jinalako ni la zamani sana,kipindi icho tukimuona Mtu yoyote na camera tunamwita michuzi,kwa umri wangu nilidhani tendo la kupiga picture ndio michuzi
ReplyDeleteNdugu yangu michuzi kwa kweli mpira ulikuwa zamani enzi za kina sunday manara na kina marehemu sembuli. sio wachezaji wa stars leo mara hereni na kusuka nywele na kula chips kavu mwili utaupata wapi. Nashauri mpira tuache tucheze bao kwani michezo ni mingi.
ReplyDelete