mapenzi ni kizungumkuti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. Natoka nje ya mada . Samahani Kaka Michuzi naomba utuwekee picha za harusi za GODWIN GONDWE.

    ReplyDelete
  2. hii njaa wabongo tunayoendekeza itatuua!
    jamaa anatafuta makaratasi siyo!?

    ReplyDelete
  3. si njema kabisaaaaaaaaaaa!! sidhani kama hayo ni mapenzi kiukweli ukweli

    ReplyDelete
  4. aka we bwana wewe. Huyo mama mzuri sana jamani! Basi huku Marekani hiyo ndio deal sana tu. Mi nakwambia vijana wa kitanzania ndio tunaowatafuta hao, hayo ndio majiko yetu sasa sisi tena!!!!

    ReplyDelete
  5. Viwanda vya urafiri au sungura textile jamani mpo jamani... huyo mbilikimo tumsaidie shati!!!

    ReplyDelete
  6. ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, na ukisikia saida anaimba mapenzi kisungusungu mapenzi hayana macho mapeni hayachaguiii mimi ninampendaaa mpenziwanguuuu mapenzi hayana tiba tiba ni yule unaempenda

    ReplyDelete
  7. WEWE MWESHIMIWA HAPO JUU ACHA UONGO SI UKO MAJUU NDO MAJIKO YENU ILA SAHIHI UNGESEMA SISI HUKU MAJUU NDIO MAJIKO YA HAYO MAJI MAMA MAANA NINYI NDIO MWAPIKA KUPAKUA NA KUFUA NONIHINO ZAO!!!!! UONGO

    SISI NDIO TUNA MAJIKO BWANA TEHE!!! TEHE!!! TEHE!!!!

    MZEE WA BUNJU

    ReplyDelete
  8. JAMANI HII ZECOMEDY AU?

    ReplyDelete
  9. Du! ama kweli mapenzi ni kizungumkuti kama ni ya kweli kutoka moyoni, na kama si yanatokana na njaa njaa zetu.
    Ninakutakia kila la heri mwanewane. We endelea kukandamiza hiyo "Scania"

    ReplyDelete
  10. Yaani utafikiri ile mijimama ya Ilala ni king'asti wake. Mbona hata Bongo hiyo ipo mnashangaa nini? Mama ni African figure ndio maana jamaa kazimia hapo hakuna kizungumkuti wala nini, anatakiwa aje ashindane MISS BANTU huku Bongo.

    ReplyDelete
  11. Hell! The Guy is enjoying Mwanawane, natamani nipate bahati kama hiyo Hakyanani nitang'ang'ania kinoma.. Michuzi pliiiiiz kama una kontakt za mijimama kama hii naomba nitumie kwenye Email yangu, si unaikumbuka?

    ReplyDelete
  12. jamani leo nimecheka mno, yaani mastress yangu yote nimeyasahau,,,amakweli njaa itatufikisha pabaya, maana haya makaratasi watu wala hawachagui hawabagui....yoyote atakayekaa sawa tu, huyohuyo,,kunakuwa hakuna wakati wa kuchaguachagua,,anyway, kila mtu anaelewa shida zake binafsi kwa hiyo tusiseme sana, ila du leo nimecheka

    ReplyDelete
  13. Wenye wivu mjinyonge mie nakula makaratasi yakheeeee! mlango ni mlango kama wa mbele huwezi unaweza kupitia wa nyuma Yakheee! mie Nala makaratasi hapa jumla jumla no kula Rojo tu Mbatata nawacha wale wengine hahahaha. USA! USA! USA!.... wandada juma sadi makame faki chakechake msijali nitawaleta wote nikipata makaratasi.

    ReplyDelete
  14. Ndo maana msela kakata...kumplease demu kama huyo kitandani ni GYM tosha...kamua babaake..3 in 1 =uroda, makaratasi na mazoezi...Umeshatoka!! HE EH EEHHEH EH

    ReplyDelete
  15. DU, HILI MAMA LINAVUTIA KWELI, MIMI NIMELITAMANI, MWANAMKE MZURI HUYU, UKILA UNACHANGUA KILICHONONA!! SIO MAKARATASI WALA NINI, HILI LINAVUTIA.

    ReplyDelete
  16. Which iz Which,
    Ni tuseme Huyo Jamaa ni mbilikimo sanaaaa wakati huyo mama ni Standard

    AU

    Huyo mama ni XXL na jamaa ndio Standard size?

    Kk

    ReplyDelete
  17. Te he te heee, hii inanikumbusha Zena na Pimbi!!!

    ReplyDelete
  18. He heee!!
    kamua baba kamua baba, wenye wivu tuonesheni na nyinyi hao wenu mnaowaringia.
    Nakuaminia kichaa wangu, weh nomaaa!!

    ReplyDelete
  19. Hii inanikumbusha Lilian Tairo na Mzaham wa Houston-Texas.

    ReplyDelete
  20. Jamani tumwonee huruma huyo yakhe...akiwa chini atakandamizwa na huo uzito!!!na akiwa juu ni sawa na kuogelea bahari kasoro maji!!!kazi ngumu either way!

    ReplyDelete
  21. Kwa wale wanao wajua wamarekani vizuri yawezekana kabisa akawa ni mwanamke kama inavyoonekana lakini usije shangaa vile vile huyo akawa ni mwanaume au ni trasexsual (yaani alikuwa mwanaume amebadili sex)

    ReplyDelete
  22. Mambo yenyewe kumbe kuringishiana? Ngoja na mie niweke picha yangu na jibabu langu la kizungu halafu nimsikie mtu anamkandya jibabu langu nyooo!

    Ehe lakini si unajua mambo ya hawa watasha, inabidi nimuombe ruhusa kwanza kama 'darling nataka kuweka picha yetu kwenye blogu ili jamaa na marafiki zangu watuone huko nyumbani' hapo naongelea puani! Mwanawane ni muhimu kuomba ruhusa asije akamfungia kaka yangu Michuzi blogu yake bure kwa kutoa picha bila idhini yake.

    Sasa kaka na dada zangu subirini nipate ruhusa na nyie muone picha ya shemeji yenu. Tena huu utaratibu ni mzuri na wengine nao walete picha zaa si mnajua salamu/barua/picha ni nusu ya kuonana?

    ReplyDelete
  23. mh wazungu wanakwambia "that's a nigga's lard"
    Poleni we wanaume wa kiswahili kwa kuparamia mafuta, sijui mnafikiria mtaamka wazungu siku moja. Hata hao watoto watakaozaliwa, no matter how white look alike they are, they will always be black, look at Obama.

    ReplyDelete
  24. Mhnhnh! hii balaaaa saana!

    ReplyDelete
  25. Inamaana nondo si kipimo cha kuwa na mwili mkubwa? Lkn wanasema dont judge a book by looking at it's cover...

    ReplyDelete
  26. unajau ukitokea kuwa na marafiki za kizungu ujue wewe, poa, sio kama hauna hauko poa, ila wazungu nao wanasoma sana watu.

    ReplyDelete
  27. unajau waafrika tunaproduce hao mixed people, na wazungu so kama mtu anajidai dai sijui mixed, amechannganywa na mwafrika na mzungu, ndio wakawa mixed.

    ReplyDelete
  28. Duu kumbe wazalendo muna wivu!!!mjoba ngoma kali anakula kuku zake watu wivu kibaoooo!hamlali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...