Home
Unlabelled
klabu ya hunters kumekucha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anayei Run hiyo pub ni Daudi?au mtu mwingine naomba nifahamishwe
ReplyDeleteShukrani Michuzi,...ninamwaona kaka Mazara kwa mbali ametulia. Safi sana; tunashukuru sana kaka.
ReplyDeletemambo gani vyoo viko hapo mbele ya meza ya kunywa na kula chakula,kwani hakuna namana ya kuweka vyoo mbali na wateja,halafu ushauri wa bure hayo maanadishi ukutani hayafai ni bora kutumia posters maana hapo haivutii na uchafu tuu,lakini ni joint nzuri sana hapo na chakula safi sana bila kusahau heineken bariiiid kabisa.
ReplyDeleteThnx Bro Michuzi for sharing - very nice place. Kiti moto (Siri yako) and nyama nzuri sana! Was thea last week, wanapiga disco the other side of the building.
ReplyDeleteAfande KT, Mwinyi mazara nakuona mkuu !!! tupo stories za Bongo mkuu!! haya kila la heri katika maisha yako mapya. ni mimi mdau mwenzio tulikuwa wote pale 904 Bensch street, lansing city MI.
ReplyDelete