klabu ya hunters iliyoko nyuma la soko la 'tx' kinondoni pamekucha sana siku hizi. ukichelewa jioni hupati kiti..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Anayei Run hiyo pub ni Daudi?au mtu mwingine naomba nifahamishwe

    ReplyDelete
  2. Shukrani Michuzi,...ninamwaona kaka Mazara kwa mbali ametulia. Safi sana; tunashukuru sana kaka.

    ReplyDelete
  3. mambo gani vyoo viko hapo mbele ya meza ya kunywa na kula chakula,kwani hakuna namana ya kuweka vyoo mbali na wateja,halafu ushauri wa bure hayo maanadishi ukutani hayafai ni bora kutumia posters maana hapo haivutii na uchafu tuu,lakini ni joint nzuri sana hapo na chakula safi sana bila kusahau heineken bariiiid kabisa.

    ReplyDelete
  4. Thnx Bro Michuzi for sharing - very nice place. Kiti moto (Siri yako) and nyama nzuri sana! Was thea last week, wanapiga disco the other side of the building.

    ReplyDelete
  5. Afande KT, Mwinyi mazara nakuona mkuu !!! tupo stories za Bongo mkuu!! haya kila la heri katika maisha yako mapya. ni mimi mdau mwenzio tulikuwa wote pale 904 Bensch street, lansing city MI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...