Home
Unlabelled
kondoo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Basi shughuli yooote hapo,kisa nini...eti mganga kasema antaka Kipande cha Bandama la Kushoto,pamoja na nyongo...maake wabongo wakachinja Mbuzi/kondoo mchana mchana,bila hata bwana/bibi Afya basi ujue hilo tambiko tu.
ReplyDeletenapenda nyama but this is not a pretty sight.
ReplyDeleteCha ajabu
ReplyDeleteChem tema kuni mwana kondoooo...zimewataka wazima watatu kukupelekea wewe kwa khitma yako!!!kukuchuna vuta nikuvute!!!
ReplyDeleteJamani wenzangu,mmeanza na Bismillah siyo...au mie hilo ndafu haramu!!!
ReplyDeletehuyu ni mbusi na si kondoo kama inavyodaiwa
ReplyDeleteKwa macho yangu naona huyo ni mbuzi wala sio kondoo...
ReplyDeletenami naungana na anony feb.12,2008: 10:21pm eat kuuliza, "cha ajabu nini?"
ReplyDeleteany way sioni cha ajbu, lakini huyo ni mbuzi. otherwise labda siku hizi mbuzi ni kondoo na kondoo ni mbuzi.
ReplyDeletemichuzi,PLEASE,PLEASE.PLEASE,PLEASE hii ni blog ya familia,hii picha imeniharibia siku,kazi kwa leo basi,niko chini ya miguu yako,naomba mungu watoto wasiione hii picha,maana watakuwa hawamli tena kondoo
ReplyDeleteHiiiiii
ReplyDeletelione kwanza !!#$#@>?
wewe anon on 12 feb at 8.11 am
maana yako nini kumwambia michuzi atoe hii picha.
who are you?
si uanzishe gulobu yako isiyokua na picha ya nyama.
inawezekana wewe ndiyo mlaji nyama mzuri.
watu wengine bwana, kwani cha ajabu nini,
embu tuacheni kuiga wazungu ooh wanyama sijui nini.
ndiyo haki za wanyama tunazijua. lakini wewe ni mtanzania umeshawahi kuona mnyama aliyechinjwa, embu acha kujibaraguza hapa
nyooooo huna lolote
sogea mbele uko mfyooo
mdau Canada