mdau albert kashuhudi kondoo akichunwa huko maeneo ya bunju leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Basi shughuli yooote hapo,kisa nini...eti mganga kasema antaka Kipande cha Bandama la Kushoto,pamoja na nyongo...maake wabongo wakachinja Mbuzi/kondoo mchana mchana,bila hata bwana/bibi Afya basi ujue hilo tambiko tu.

    ReplyDelete
  2. napenda nyama but this is not a pretty sight.

    ReplyDelete
  3. Chem tema kuni mwana kondoooo...zimewataka wazima watatu kukupelekea wewe kwa khitma yako!!!kukuchuna vuta nikuvute!!!

    ReplyDelete
  4. Jamani wenzangu,mmeanza na Bismillah siyo...au mie hilo ndafu haramu!!!

    ReplyDelete
  5. huyu ni mbusi na si kondoo kama inavyodaiwa

    ReplyDelete
  6. Kwa macho yangu naona huyo ni mbuzi wala sio kondoo...

    ReplyDelete
  7. nami naungana na anony feb.12,2008: 10:21pm eat kuuliza, "cha ajabu nini?"

    ReplyDelete
  8. any way sioni cha ajbu, lakini huyo ni mbuzi. otherwise labda siku hizi mbuzi ni kondoo na kondoo ni mbuzi.

    ReplyDelete
  9. michuzi,PLEASE,PLEASE.PLEASE,PLEASE hii ni blog ya familia,hii picha imeniharibia siku,kazi kwa leo basi,niko chini ya miguu yako,naomba mungu watoto wasiione hii picha,maana watakuwa hawamli tena kondoo

    ReplyDelete
  10. Hiiiiii
    lione kwanza !!#$#@>?
    wewe anon on 12 feb at 8.11 am
    maana yako nini kumwambia michuzi atoe hii picha.
    who are you?
    si uanzishe gulobu yako isiyokua na picha ya nyama.
    inawezekana wewe ndiyo mlaji nyama mzuri.
    watu wengine bwana, kwani cha ajabu nini,
    embu tuacheni kuiga wazungu ooh wanyama sijui nini.
    ndiyo haki za wanyama tunazijua. lakini wewe ni mtanzania umeshawahi kuona mnyama aliyechinjwa, embu acha kujibaraguza hapa
    nyooooo huna lolote
    sogea mbele uko mfyooo

    mdau Canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...