Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 42 mpaka sasa

  1. Mi-nashauri waweke na Parental Guide kabisaaaa! only suitable for over 56! lazivyo ni Nightmares tupu!!

    ReplyDelete
  2. Mkulu Mbona Picture hapo juu kulia umeibandua tena? au wataka kutuletea ki-T-shirt??

    ReplyDelete
  3. Sidhani kama ni ustaarabu kuita watu Ugly

    ReplyDelete
  4. No One Is Going To Watch The Movie, Am Sure Is going To Be Boring!

    We Want, I mean, I Want Mr Pombe Magufuli Somewhere, Somewhere, Not That Samaki Thing...., Pls Mr Presidaa, Think Twice, You Are Just Spoiling Some People's 'Intelligence' Eti Uvuvi sijui Uvivu huu kweli Utani, Mie Roho Inaniuma Sana, Vipaji Vya Watu Vinapotea Hivi Hivi, Kwa Samaki Gani Tulionao??, But You Know What!, Mr Magufuli, You Will Be Just Fine, Coz We Are Behind You.

    Michu Ukiweza Mfikishie Mr Presidaa Hii Msg Yangu.

    ReplyDelete
  5. Haki ya nani Kipanya unadhambi wewe!!! Duh!!! Yani nimecheka sana!!! Ngoja tuone huenda kazi ikafanyika na sio mambo ya kuuziana sura

    ReplyDelete
  6. KP sasa hii ni funika bovu.

    mdau wa newala.

    ReplyDelete
  7. Kipanya unamzalilisha waziri mkuu mpya .... unajua maana ya beast ? kwa hiyo nani ni beast ... acha kutukana watu ... kumbuka kabla hujafa ... KWA HII KATUNI YAKO UNAONEKANA BADO HUJAKUA

    ReplyDelete
  8. Anon wa feb. 13, 3:14:00 nakubaliana nawe paragraph yako ya pili. Ukweli inaniumiza pale ninapoona kuwa mtu flani ana kipaji flani kingefaa zaidi maeneo flani, kisha akapewa kazi ambayo kama ya kumzima au kumvunja moyo, kwa maana kuwa hawamtumii vizuri, na hii ni kitu inatawala sana nchi yetu sehemu nyingi sana makazini. Anapopatikana mtu anauwezo wa juu wa kuleta maendeleo watamtweza watamshusha moyo kwa kumlipa fadhila ambayo itamshusha moyo au hatakuwa na ari . Anyway labda mzee Prezidaa anakusudi jema huko kwenye mifugo na samaki ila nina tashwishwi na position waliompa . Pia wako wengi tu wa aina hiyo ya mangufuli huku chini watendaji wazuri, kuzidi hao wanaoingia bungeni kwa makosa na kufanikiwa kuchaguliwa uwaziri. Jamani tuchague wabunge wenye mzigo na nchi hii watakaopatikana kuwa mawaziri bora watakaojenga nchi na maslahi ya wananchi wanyonge tulio wengi huku chini.Pia tunaomshauri Raisi wetu tumshauri kwa manufaa ya umma, na tusimuangushe Raisi wetu.

    ReplyDelete
  9. masoud kaka hapo umechemka sijafurahishwa hata kidogo na hii katuni yako.watu hatuaangalii uzuri wa sura bali ni utendaji wa kazi, hata wewe si mzuri kabisa wewe pia sura yako haina mvuto nadhani huo umaarufu wa katuni ndio unaokudanganya.kumbuka hujafa hujaumbika.umetokota ile mbaya na tabia yako ni mbaya sana hata kama una freedom of press.watch out kaka!

    ReplyDelete
  10. Mimi nafikiri Magufuli kuwekwa katika wizara hiyo bado atakuwa na kazi kubwa sana.Kuna mambo nako!!

    Michuzi naomba kama una ule uchambuzi unaoonyesha tani ngapi za samaki zinavuliwa na wageni katika bahari ya Hindi kinyume na taratibu za uvuvi uuweke kidogo watu waone.

    Minofu ya samaki kutoka Ziwa Victoria inayosafirishwa nje ya nchi je, inaingiza kiasi gani serikalini na mafisadi wananufaika vipi badala ya uchumi wa nchi.

    Nadhani akipewa muda atakuja na bomu litakalowaacha watru midomo wazi.

    Naamini Magufuli angewekwa wizara yoyote anaweza kufanya kazi vizuri tu na sasa wakati umefika wa kugeukia sekta hiyo ya uvuvi nayo tuone uchumi wetu unaweza kunufaika vipi maana mapato yanayoliwa na uharibifu unaofanywa ni mkubwa kuliko wengi tunavyodhani.

    Kila siku wanakamatwa wavuvi wadogowadogo wanaotumia baruti kuvua, lakini mijimeli na vifaa vinavyovua mpaka mayai ya samaki aah.

    ReplyDelete
  11. KUSEMA UKWELI HAKUNA KITU KIMENIUDHI KAMA KAPUYA KURUDISHWA, YANI LILE ZEE LISHENZI MNO, SANA TU, ROHO NYEUSI KAMA RAMI, KWANZA NA LENYEWE SI LIFANYA BIASHARA LA BENDI YA ACUDO? LINAPEKECHA TU.. SIJUI LINATAFUTA NINI WALA SIJUI!! PREZIDAA ANGEYATOA YALE MAKONGWE YOTE AKAYATUPIA NJE HUKO, ILA HAKUNA KITU KIMENIFURAHISHA KAMA ZAKIA KUTOLEWA NJE...HAPO NAMSIFU JK

    ReplyDelete
  12. KIPANYA TABIA MBAYA SANA UNAYO SIKU HIZI.

    BAADHI YA KATUNI ZAKO SASA UNAVUKA MPAKA. S

    UBIRI LAZIMA TUKUCHORE KWANI NA WEWE UPO KWENYE KASHFA YA BOT, DIRECT/INDIRECT UTAJUA MWENYEWE LAKINI SUBIRI.

    ReplyDelete
  13. Masoud!! Angalia sana

    ReplyDelete
  14. Kipanya you are out of your mind please DONT INSULT PEOPLE ....

    IF YOU HAVE NOTHING TO DRAW YOU BETTER KEEP YOUR MOUTH SHUT RATHER THAN DOING THIS

    ReplyDelete
  15. Kipanya Nilikuwa sijui uwezo wako wa kufikiri mpaka nilipoona hii katuni ... Inaonyesha unajiona uko matawi ya juu sana au handsome sio? aaaahhh hatuendi hivyo Pinda amekukosea nini? chukua tahadhari kabla hujachora katuni au huna editor nini? I was your fun but now I am thinking the other way

    CALLING PEOPLE BEAST IS NOT A GOOD THINK

    YOU NEED TO POST AN APOLOGY TO HIM(PINDA), PRESIDENT KIKWETE AND ALL OF US WHO SAW YOUR KATUNI

    AND REPENT TO YOUR GOD

    ReplyDelete
  16. wewe masoud kipanya nilikuwa nakuoana wa maana kumbe nimegundua ni mshamba sana wewe.
    yaani kumwita mtu beast unadhani ndio utasifiwa? upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana,yaani unaleta mambo ya kijiweni unaongea na washamba wenzako ndio unaleta hapa.
    tuombe radhi tafadhali na pia mwombe radhi mheshimiwa pinda kabla hajakushughulikia kimya kimya.au hujui kama pinda ni mtu wa usalama wa taifa?
    inaonekana wanakudanganya kuwa wewe ni handsome kumbe huna lolote.
    kwanza huwa mnaongea pumba tu wewe na yule manzii anaitwa fina mango..yaani huwa mnaniboa sometimes kwa kuleta mambo ya kitoto kwenye radio ya public.
    any way umechemka kwa kiwango kikubwa hapa nakushauri omba radhi maana hujafa hujaumbika.

    ReplyDelete
  17. Haya ndio matatizo ya uhuru wa habari, vyombo vingi vya habari ikiwemo clouds fm watangazaji wake si watu wanaoheshimu taaluma yao na kutoa habari kwa kuzingatia maadili ya jamii yetu ya kitanzania, mara nyingi wanaropoka tu!!!

    Pengine ni tatizo la malezi sana, huko walikolelewa hasa wazazi wao!! wanayosema ni kama wameishi maisha kama chokoraa tu!! pasipo kuwa na wazazi wa kuwakanya na kuwafundisha kuheshimu watu wote, hasa wanaowazidi umri, masudi, fina na wenzao hapo clouds, maneno yao mengi hayafai kusikiliza wala hayajengi ustaarabu.

    Tafadhali kipanya muombe radhi mzee pinda, kikwete na mashabiki wa kazi zako, yeye ni sawa na baba yako!! taaluma yako haiwezi kuvuka mipaka hiyo!!

    ReplyDelete
  18. Just listen to yourselves!!!!Hivi wa kumwomba radhi Pinda ni KP au ni ninyi Mnaotafsiri picha hiyo??? ni wapi katika picha hiyo pameandikwa majina???acheni kumwekea KP maneno mdomoni!! yeye kachora katuni hiyo,na ina 'Reflect'jinsi ambavyo mtu atafsiri aliyoyaona katika katuni yenyewe.Mme tafsiri katuni hiyo kwa hulka zenu wenyewe,mmetamka na Majina nyiye wenyeweeee!
    Kumbukeni:KP yeye anachora tu! nyiye ndo mwafanya tafsiri zenu wenyewe.

    ReplyDelete
  19. Hata kumuita JK ni beaty ni matusi pia hasa ukizingatia sinema yenyewe beaty alikuwa msichana mrembo na beast alikuwa jidude hivi kwenye hadithi za kitoto. Sikutegemea haya lakini si ndio nyie kila siku alikuwa akitukana watu hapa na vikatuni vyake mnamsifia sasa amepevuka kwa kuwa mmemlea hamkuataka kumkanya mapema. Na pia ni tabia ya wengi kutukana watu humu ndani ya blogu nafikiri umefika wakati huo uhuru wa habari ukawa na mipaka yake sio mpaka kufikia matusi ya reja reja. Nilishasema siku za nyuma mtu yeyote anayefikisha ujumbe wake kwa njia ya matusi ameishiwa kichwani. Kwa sababu ya kusema au kuandika mbona ni mengi tu kama mtu atatafakari.

    ReplyDelete
  20. Definition of beast: An animal other than a human, especially a large four-footed mammal.

    Sasa hapa Kipanya unataka kuuambia nini umma wa Watanzania!! Kwamba Mh. Pinda siyo binadamu? Au una weza kutufafanulia maana nyingine ya the Beast? maana mpaka sasa mimi sijaelewa ulitaka kusema nini!! Kama ulikuwa na maana niliyonukuu hapo juu kutoka kwenye kamusi basi wewe huna nidhamu na umeutumia vibaya uhuru wako wa kusema utakacho!

    Mimi nakushauri uwe unatafuta maana ya maneno kabla hujayapeperusha kwenye umma! Maana hizi lugha nyingine siyo lugha zetu mama. Labda mwenzetu ulikuwa ''huelewi'' maana ya BEAST.

    ReplyDelete
  21. endelea kukamua kipanya, yani watu wanaona ni sawa kwa huyu aliyesema mzee kapuya ni lishenzi lakini wanakushangaa wewe uliyechora katuni bila kuandika jina la mtu.

    nadhani wengi wanasahau katuni ni nini, natamani wangekuwa huku tuliko sisi waone jinsi bush anavyochorwa kama nyani na gendaeka. you have made your point kaka.

    ReplyDelete
  22. Kwangu mimi hii sinema ya KP ya The Beauty and The Beast' inahusu kauli mbiu ya sasa iliyopo ktk mdomo wa kila Mtanzania mpenda nchi yake kujaribu kuwata- futa:

    The Beauty- watu waadilifu,watetezi
    wa wanyonge, wachapa kazi,wawekao maslahi ya taifa mbele, wasikivu wa matatizo ya wananchi n.k
    KUWANGOA NA KUWATOSA:
    The Beast- ambao ni mafisadi, wanaojali maslahi binafsi na sio ya nchi, wasio sikia uchungu wananchi wakikosa matibabu, elimu na mavazi. Pia kutopanua miundo mbinu kwa makusudi ili nchi yetu iendelee kuwa masikini . Orodha ni ndefu waweza kunisaidia.

    Hivyo vita ya sasa inayomkabili JK na Mizengo Pinda, ni hiyo ya kuele-keza Mawaziri na viongozi kuinasua nchi toka ktk umaskini wa kujitakia toka kwa ma-'Beast' na kuwapata :

    'Beauty' wa miyoyoni kuifanya nchi yetu INAWIRI KIUCHUMI watu waitamani na kuionea wivu.
    Mdau
    SeniorJunior
    London.

    ReplyDelete
  23. Mimi ndio wa kwanza kumkemea huyu Kipaya kuita mtu Beast, Ila nadhani huyu aliye sema Pinda yuko usalama wa taifa so atamshughulikia Kipanya kimyakimya, nadhani huyo ndio ame mdhalisha Pinda na Usalama wa taifa zaidi.

    Hivi wewe uliye sema Pinda ata mshughulikia huyu Kipanya, unadhani wao hawana kazi ya maana zaidi ya kusome hizi carton na kureact sababu Pinda kaambiwe sio Handsome? wewe ndio na dhani inabidi uombe msamaha kwa Pinda na kwa Usalama wa taifa , kwani ume wadhallisha kuwa wao wana fuatilia masaula ya urembo zaid ya kazi iliyo kuwa kubwa mbele yao.

    Anyways hata Pinda umuite evil Beats hata ugly Gorrilah ,hawezi react kwa ujinga huo ,sana sana atacheka tuu na kukuambia kijana una mapepe , kwani hayo ni mambo ya primary school na secondaqry school.kwa kifupi ni mambo ya kitoto..mtu mzima hawezi react akiitwa names

    ReplyDelete
  24. Kwa tafsiri yangu ya cartoon hii yo kwamba

    Beauty ni JK, yani mchapa kazi ,easy going ,fun to be with , yani hana ukali ni ana smile muda wote na una weza kumuendesha utakavyo.

    Beast ni Pinda, yani ni mchapa kazi ,mnoko, hana urafiki , kusmile ni adimu, na ni tishio kwa mafisadi , wakata kitu kidogo ili kazi ipite .

    ReplyDelete
  25. KP endeleza kazi yako usisikilize wenye kulalama,fikra mbaya ni zao wenye kutafsiri.Labda vile maneno umeyagawa na picha(beauty umeweka picha ya JK na beast umeweka ya Pinda)it could translate into the fight of good against bad au JK anateua viongozi wazuri hivi sasa ili wapigane na ufisadi uliopo katika nchi yetu it could be anything msi pande jazba na kutaka kijana wa watu aombe msamaha.Alie zungumzia hadithi ya watoto ya jinsi beast alivyokua mbaya wa sura sijui mwisho wake uliuangalia pia au uliishia kati najua ni mchezo mrefu labda ulichoka kuumalizia basi rudi ukauangalie halafu utajua what happened to the beast.

    ReplyDelete
  26. Sawasawa!!, Umekuwa wa Kwanza kumkemea KP kwa kumwita 'Mtu' Beast,na ninakushauri vilivile Uwe wa kwanza Kumuomba radhi KP kwasababu nilizozitoa hapo awali:KP kachora katuni,wewe/nyiye mmeipa katuni hiyo uhai, hata kupachika na majina!
    Kuhusu hawa wa Usalama wa Taifa,Mhh! nakuachia WEWE maana inaelekea Unao Uelewa/Tasfsiri kamili ya ni jinsi gani wanafanya kazi Zao.

    **Note:READING a Sentence is One thing,but UNDERSTANDING it is Another.**

    ReplyDelete
  27. Kusema ukweli Kipanya hujatumia busara.This was not funny at all.
    Kumuita mtu beast ni ujinga.you can not make funny maumbile ya mtu.Hujatumia busara.Sidhani kama kuna mtu(Mwenye sense zake) ambaye atafurahishwa au atacheka kwa utani huo

    ReplyDelete
  28. Sasa wewe Kilimanjaro hapo kilichokuchekesha ni nini?Mtu kuitwa beast,Ugly wewe huna mbaavu!!!! come on

    ReplyDelete
  29. Masoud Masoud,Hivi sura yako umeiona?Au huna kioo kwako?Jiangalie wewe kabla kujamuita mwenzio mbaya.

    ReplyDelete
  30. ACHENI "..UPUMBAVU WENU WA KUMTISHA KP.." HAJAKOSEA WALA NINI ANAWAFIKISHIA UJUMBE WANAPENDA "...KUUELEWA..." KAMA HUUPENDI HIYO NI HIYARI YAKO NA UNARUHUSIWA.

    ReplyDelete
  31. DUH, YANI KWENYE HIZI COMMENTS WENYE AKILI NI WATATU TU..WENGINE WOOOOOOTE MDEBWEDO!!! SASA KP KAKOSA NINI? TATIZO LENU NI PALE ASUBUHI MNAPOAMKA NA KUNYWA GLASS YA MATUSI, THEN UNAKOSA WA KUMPAKIA UNAKUJA NA HAPA NDO UNATAFUTA SABABU, YEYE KAJICHOREA ZAKE, HAJAWEKA JINA LOLOTE, NYIE TU NA MACHEPELE YENU MNAANZA KUWEKA MAJINA NA KUMUWEKEA UBAYA KP..KWA TAARIFA YENU KP NI HANDSOME SANA TU, ANAYESEMA SIO MZURI ATAKUWA NA LAKE JAMBO...KP ANA MVUTO...KAMUA BABA KP!!! TUPA NYUKI, MWAGA MAWE..KITA NGOMA!!! KUDADADEKK...

    ReplyDelete
  32. We Kipanya Mtu mzima hiovyo. Sikutegemea kama ungeweza kukosa adabu na akili namna hiyo. Hta hao wanaoshabikia akili zao ni kama zako. We mwenyewe domo kubwa lekundu kama limepakwa lipstick. Watch out ndugu yangu or u better stop this usije sema umeonewa.

    ReplyDelete
  33. huo ni ushamba na kukosa maadili. Ndiyo maana Nargis alikumwaga!!!

    ReplyDelete
  34. Huyu kijana aliyechora hii katuni anastahili ashughulikiwe kikamilifu ... Nitajitahidi Bwana Pinda aione hii katuni(kama hajaiona) na mambo mengine yatafuata baadaye ... huyu kijana anahitaji apewe maelekezo ya kinidhamu kidogo

    ReplyDelete
  35. Nachelea kusema kwamba kuna upungufu wa maadili kwenye hii katuni na mipaka naona imevunjwa na hatua madhubuti inabidi zichukuliwe ili kuhakikisha mambo kama haya hayaachiwi yakajitokeza ovyo ovyo.

    Kama asipoomba msamaha basi asubiri tu

    ReplyDelete
  36. Kipanya naona anamchezea simba sharubu

    ReplyDelete
  37. wahenga walisema "Kila jambo lina mwisho wake" .... Kipanya angalia isije ikawa mwisho wako ndio umekaribia

    ReplyDelete
  38. Kipanya naona mob psychology inakupota ... You will be there alone ... cheka cheka nao tu hao wanaokuzunguka ... yatakapokukuta utakuwa mwenyewe

    ReplyDelete
  39. We mtoto ....HIVI KWENU HAKUNA WAKUBWA?

    ReplyDelete
  40. wewe kipanya huna adabu kabisa.hivi hujui kama pinda ni sawa na baba yako?
    na hao wanaokuchekea na kukushabikia akili zao ni kama wewe tu.sasa ngoja usalama waanze kukushughulikia afu uone kama utakuwa nao.huna maana wewe najua tatizo lako ni shule huna.

    ReplyDelete
  41. Big Up KP!!!!

    Kweli wabongo bado sana ktk kutoa tafsiri za katuni hii ya kipanya.....wengi mmekurupukia uzuri wa sura na ubaya wa sura....KP mwenyewe hana maana hiyo..muulizeni sio kumkashfu na kumuona poyoyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...