Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana ametangaza baraza la Mawaziri hapo jana kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma. Ifuatayo ni sehemu ya hotuba yake akitangaza baraza hilo. Sikiliza kupitia http://www.klhnews.com kwenye "podcasts"
Unafikiri nini kuhusu baraza hili?
Title: KLH News Episode: Rais Kikwete atangaza Baraza la Mawaziri
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2008-02-12T21_54_09-08_00
Enjoy!
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2008-02-12T21_54_09-08_00
Enjoy!


Chenge wa nini? Ametajwatajwa sana kwenye mikataba mibovu akiwa mwanasheria mkuu enzi hizo, hawa wanatakiwa kujibu tuhuma bwana vinginevyo itakuwa ngumu. JK naye anatuchanganya!
ReplyDelete