Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Kp kp kp.... Muache aliye na yeye.. mbona sie katuliza na tunaendelea kuteseka na budget yake ngumu! sasa ivi kila kitu kimepanda! maisha yamekuwa magumu kupita kiasi, 'yeye lake kichwani' unadhani alikuwa hajui lolote kuhusu epa, rich of monduli nk.... No!

    ReplyDelete
  2. nani ampe post nyingine huyo zero?katunyonga na budget yake saa hizi ndio anajishebedua nini?lia mama lia kama hukula mali asili ukasubiri uanze sasa hivi kula basi nakwambia too late,train imeshaondoka

    ReplyDelete
  3. Jamani, kwani huyu ni nani? Ni yule wa pesa au wa mashamba?

    ReplyDelete
  4. mAzoea yna tabu, uwaziri si nafasi a kujidai au cheo cha kulea uzembe. Uwaziri ni nafasi tu ya kuwajibika kujenga taifa. Viongozi wamekuwa na kasumba mbaya ya kudhania kuwa waziri manake ni kula nchi ndani ya shangigi. jamani sio hivyo,wajibikeni kwa kutu,ikia taifa lenu masikini sana. acheni kujiona mmpendaja daraja a la kimaisha mnapokuwa mawaziri. Waziri wa nchi masikini si nafasi ya kuiba na kutanua. Chapeni kazi, kama mmeachwa kuna njia nyingi za kutumikia taifa. nendeni vijijini kwenu, wakilisheni wilaya zenu ipasavyo huko bungeni. Acheni kutafuta uenyekiti wa board ndani ya makampuni ya nje. Mfano lowassa kuwa mwenyekiti wa board ya Vodacom mi rushwa ya ina ingine. Acheni kuwa vibaraka wa mabepari na kulinda maslahi ya mabe pari wa nje. Lindeni haki za wanyonge fanyeni kazi kwa bidii kujenga taifa lenu.

    ReplyDelete
  5. JK atachemsha akimpa post huyo Mama kwanza asubiri issue ya B(alali)OT na EPA, I can bet YUMO. Mwaka huu mafisadi wataumbuliwa tu... mmoja mmoja. Keep it up KP!

    ReplyDelete
  6. kp bwana acha aliye hata azimie kabisa maana aliyo fanya kaliza na kuua wengi tena kwa makusudi

    ReplyDelete
  7. HIVI NANI ANAMILIKI ILE HOTELI YA SLEEP INN MTAA WA MAHIWA KARIAKOO?

    ReplyDelete
  8. kp we acha tu!yaani vehicle licence kutoka TZS 20,000.00 hadi TZS 330,000.00 sijui ni budget ya aina gani? yaani ongezeko la 1,650% umewahi kusikia wapi? au hataki watu wawe na magari? inanitia kichefuchefu!!! kwanza anyanganywe na huo ubunge wa dezo mtzss!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. HII NGOMA YA VIHAMBA HII

    ReplyDelete
  10. Alisema hamtoi mbona keshachukuliwaaa, sifiche hebu twambieee,kaukimbia hunaeee fisadi usojijuaaa, lia pasuka, lia pasuka ukipenda usipende ushapinduliwa.
    kaa kimyaeee bibi kaa kimyaeee hata na wewe useme jinyamazie, lia lia lia pasuka. aaah wimbo wa abdallah Issa enzi zileee aliporudi tz na vishindo.

    ReplyDelete
  11. "Hakuna ushkaji mkubwa kuliko huu, wa fisadi mmoja kuutema ulaji kwa ajili ya washkaji zake" (Richmonduli 8:18)

    "Kwa maana jinsi hii Lowassa alimpenda JK, hata akautema u-PM, ili kila aliyerichimondi asilowaswe bali awe na ulaji wa milele" (Bangusilo 3:16)

    ReplyDelete
  12. Huyo mama kwenye kikarogosi amefanana na mama Meghji! Sasa sijui itakuwa je. Maanake BOT iko njiani. Ina maana na ubunge wa viti maalum itabidi auachie ngazi?

    ReplyDelete
  13. JAMANI MBINGUNI MBALI, HUYU MAMA AKIFIKA HUKO AKAAMBIWA NI MUUAJI ANAWEZA KATAA KATAKATA.LAKINI UKWELI WATU KIBAO WAMEJINYONGA NA KUACHA UJUMBE "ASISUMBULIWE MTU" KUMBE MAANA YAKE "MAJIRANI ZANGU HAWANA KOSA ISIPOKUWA SYSTEM,AMBAYO SI RAHISI KUIHOJI NA KUIFUNGA". JAMANIMAISHA MAGUMU MAMA HUYU ALIYOTULETEA KWA NJIA YA BAJETI YAKE YAMEUA WENGI,MWACHE ALIYE,TENA ASINYAMAZISHWE KABISAAA.

    ReplyDelete
  14. KWA UPANDE WANGU NASEMA WACHA WAPUMZIKE TU HAKUNA CHA KUWAPA WADHIFA WOWOTE NAO WAONE JINSI MAISHA YALIVYOPANDA BILA KUITWA WAZIRI;MBONA BABA NA MAMA ZETU WAKIKOSA NAFASI ZA UONGOZI HAKUNA WA KUWAONEA HURUMA KWANI WAO NI KINA NANI,TENA NAWATAKA WAONE KUBWAGA UWAZIRI NI SAWA NA KUUSTAFU KAZI UNAJUA NINI CHA KUFANYA BAADA YA HAPO WALITAKA WAFIE KWENYE UWAZIRI KAAAA TUMECHOKA,USIMWASHE ALIYELALA UTA....:MBONA BABA YANGU MZEE NANI HII KASTAAFU NA SASA AMEJIAMULIA KUENDELEZA MASHAMBA YAKE NA RAIS KASEMA KILIMO CHA UMWAGILIAJI SASA MZEE WANGU HAFI NJAAA KABISAAAA

    ReplyDelete
  15. Mashallah.Kipanya una mahips mazuri..
    umeketi leo umependeza ehehehe

    ReplyDelete
  16. Ni kweli ngamia kupita ktk tundu la sindano ni rahisi kuliko mafisadi hasa hawa wa wa inji hii

    ReplyDelete
  17. wewe anonymous wa Feb 14 saa 3:23:00Pm hesabu zako umejifunzia wapi ndg yangu? acha kupotosha umma, asilimia 1650% ? si kweli ni asilimia 1550%.

    ReplyDelete
  18. Mijitu mingine, kujifanya much know....sasa kuna tofauti gani kati ya 1650% and 1550% ? Mangwini nyie!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...