Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kp kp kp.... Muache aliye na yeye.. mbona sie katuliza na tunaendelea kuteseka na budget yake ngumu! sasa ivi kila kitu kimepanda! maisha yamekuwa magumu kupita kiasi, 'yeye lake kichwani' unadhani alikuwa hajui lolote kuhusu epa, rich of monduli nk.... No!
ReplyDeletenani ampe post nyingine huyo zero?katunyonga na budget yake saa hizi ndio anajishebedua nini?lia mama lia kama hukula mali asili ukasubiri uanze sasa hivi kula basi nakwambia too late,train imeshaondoka
ReplyDeleteJamani, kwani huyu ni nani? Ni yule wa pesa au wa mashamba?
ReplyDeletemAzoea yna tabu, uwaziri si nafasi a kujidai au cheo cha kulea uzembe. Uwaziri ni nafasi tu ya kuwajibika kujenga taifa. Viongozi wamekuwa na kasumba mbaya ya kudhania kuwa waziri manake ni kula nchi ndani ya shangigi. jamani sio hivyo,wajibikeni kwa kutu,ikia taifa lenu masikini sana. acheni kujiona mmpendaja daraja a la kimaisha mnapokuwa mawaziri. Waziri wa nchi masikini si nafasi ya kuiba na kutanua. Chapeni kazi, kama mmeachwa kuna njia nyingi za kutumikia taifa. nendeni vijijini kwenu, wakilisheni wilaya zenu ipasavyo huko bungeni. Acheni kutafuta uenyekiti wa board ndani ya makampuni ya nje. Mfano lowassa kuwa mwenyekiti wa board ya Vodacom mi rushwa ya ina ingine. Acheni kuwa vibaraka wa mabepari na kulinda maslahi ya mabe pari wa nje. Lindeni haki za wanyonge fanyeni kazi kwa bidii kujenga taifa lenu.
ReplyDeleteJK atachemsha akimpa post huyo Mama kwanza asubiri issue ya B(alali)OT na EPA, I can bet YUMO. Mwaka huu mafisadi wataumbuliwa tu... mmoja mmoja. Keep it up KP!
ReplyDeletekp bwana acha aliye hata azimie kabisa maana aliyo fanya kaliza na kuua wengi tena kwa makusudi
ReplyDeleteHIVI NANI ANAMILIKI ILE HOTELI YA SLEEP INN MTAA WA MAHIWA KARIAKOO?
ReplyDeletekp we acha tu!yaani vehicle licence kutoka TZS 20,000.00 hadi TZS 330,000.00 sijui ni budget ya aina gani? yaani ongezeko la 1,650% umewahi kusikia wapi? au hataki watu wawe na magari? inanitia kichefuchefu!!! kwanza anyanganywe na huo ubunge wa dezo mtzss!!!!!!!!!
ReplyDeleteHII NGOMA YA VIHAMBA HII
ReplyDeleteAlisema hamtoi mbona keshachukuliwaaa, sifiche hebu twambieee,kaukimbia hunaeee fisadi usojijuaaa, lia pasuka, lia pasuka ukipenda usipende ushapinduliwa.
ReplyDeletekaa kimyaeee bibi kaa kimyaeee hata na wewe useme jinyamazie, lia lia lia pasuka. aaah wimbo wa abdallah Issa enzi zileee aliporudi tz na vishindo.
"Hakuna ushkaji mkubwa kuliko huu, wa fisadi mmoja kuutema ulaji kwa ajili ya washkaji zake" (Richmonduli 8:18)
ReplyDelete"Kwa maana jinsi hii Lowassa alimpenda JK, hata akautema u-PM, ili kila aliyerichimondi asilowaswe bali awe na ulaji wa milele" (Bangusilo 3:16)
Huyo mama kwenye kikarogosi amefanana na mama Meghji! Sasa sijui itakuwa je. Maanake BOT iko njiani. Ina maana na ubunge wa viti maalum itabidi auachie ngazi?
ReplyDeleteJAMANI MBINGUNI MBALI, HUYU MAMA AKIFIKA HUKO AKAAMBIWA NI MUUAJI ANAWEZA KATAA KATAKATA.LAKINI UKWELI WATU KIBAO WAMEJINYONGA NA KUACHA UJUMBE "ASISUMBULIWE MTU" KUMBE MAANA YAKE "MAJIRANI ZANGU HAWANA KOSA ISIPOKUWA SYSTEM,AMBAYO SI RAHISI KUIHOJI NA KUIFUNGA". JAMANIMAISHA MAGUMU MAMA HUYU ALIYOTULETEA KWA NJIA YA BAJETI YAKE YAMEUA WENGI,MWACHE ALIYE,TENA ASINYAMAZISHWE KABISAAA.
ReplyDeleteKWA UPANDE WANGU NASEMA WACHA WAPUMZIKE TU HAKUNA CHA KUWAPA WADHIFA WOWOTE NAO WAONE JINSI MAISHA YALIVYOPANDA BILA KUITWA WAZIRI;MBONA BABA NA MAMA ZETU WAKIKOSA NAFASI ZA UONGOZI HAKUNA WA KUWAONEA HURUMA KWANI WAO NI KINA NANI,TENA NAWATAKA WAONE KUBWAGA UWAZIRI NI SAWA NA KUUSTAFU KAZI UNAJUA NINI CHA KUFANYA BAADA YA HAPO WALITAKA WAFIE KWENYE UWAZIRI KAAAA TUMECHOKA,USIMWASHE ALIYELALA UTA....:MBONA BABA YANGU MZEE NANI HII KASTAAFU NA SASA AMEJIAMULIA KUENDELEZA MASHAMBA YAKE NA RAIS KASEMA KILIMO CHA UMWAGILIAJI SASA MZEE WANGU HAFI NJAAA KABISAAAA
ReplyDeleteMashallah.Kipanya una mahips mazuri..
ReplyDeleteumeketi leo umependeza ehehehe
Ni kweli ngamia kupita ktk tundu la sindano ni rahisi kuliko mafisadi hasa hawa wa wa inji hii
ReplyDeletewewe anonymous wa Feb 14 saa 3:23:00Pm hesabu zako umejifunzia wapi ndg yangu? acha kupotosha umma, asilimia 1650% ? si kweli ni asilimia 1550%.
ReplyDeleteMijitu mingine, kujifanya much know....sasa kuna tofauti gani kati ya 1650% and 1550% ? Mangwini nyie!!!!
ReplyDelete