Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wewe Kipanya umkome rais wetu mstaafu.He has done recommendable job,hata kama ana kashfa zake but at least kuna vitu vimeonekana.Usituletee siasa za Kaunda na Chiluba,sisi tuna siasa zetu tunazozifahamu.
ReplyDeleteAHAAA HII KALI SANA WANGU NILIKUWA NAISUBIRI KWA HAMU SANA HII KP NIPE 5 WANGU
ReplyDeleteWALLAH KIPANYA HUYU MZEE UTAMTOA LOHO!!
ReplyDeleteKp uko juu,
ReplyDeletewee kijana ni Genius,
mana hata mimi niliuwa najiuliza huyu Ben siku zote hiizi anafanya nini kwa watani jibu silipati, kwanza si walishamfurusha kuwa naye ni mwiba kura, hahaa may b anawafundisha mbinu, ilinext time mtu akitaka kuiba kura asisababisha maafa ya ataifa.
Big up
KP KP KP NAKUFAGILIA MWAMBIE ARUDI HOME HUYOOO KAKA KWELI HUKO..NAOMBA MUNGU MGOGORO UISHE KESHO,,KP KP FANYA KAZI KAKA....USIOGOPE MANENO YA WATU,HATA MICHUZI ALIVYOANZA WALIMPONDA PIA LAKINI SASA KILA MTU MICHUZI MICHUZI,,SIJUI NI ILE TSHIRT YAKE INAFANYA KAZI..MDAU NORIWEYI
ReplyDeleteMvunja nchi ni mwananchi! Msemo wa wahenga. Aje atuambie benk M,Bayport,ubungo plaza n.k ni vya nani?
ReplyDeleteYaani Bro Michuzi, huyu jamaa hafai kwa dili. si unakumbuka alivyo ruhusu nyumba za serikali wagawane viongozi wa wakati wa uongozi wake?? we acha tu!
ReplyDeletealoooo ulivyompatia kama uko moyoni mwake
ReplyDeleteKP=MWAKYEMBE=ZITTO=SLAA=VERY GOOD
ReplyDeleteMimi nadhani hatufikiri vya kutosha!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKwa kweli Mr Clean tunamkumbuka sana hebu tuulizeni sisi tunaojua nchi na tunaishi huku!Aliacha cement ikiwa bei gani? Petrol je? Nina uhakika asilimia 90 ya wabongo ukiwaambia wachague kati ya Mr Clean na JK watamrudisha jamaa madarakani, potelea mbali alikula! Nawakilishaa
Mimi nadhani kutaka sifa kupitia viongozi wakitaifa sio jambo muafaka.
ReplyDeleteKuna issue nyingi za kuzichora.
Wewe Mtoa Maoni Anonymous wa tarehe Thursday, February 28, 2008 5:36:00 PM EAT, tuchoree katuni zako hizo uzisemazo! Tunazingoja!
ReplyDeleteLabda kwa KP, hizo za kwako ni "outside the scope"!
Watetezi wa mafisadi ni wengi kweli-kweli!! Angalia hawa na wale wa Monduli!
ReplyDeleteWatetezi wa mafisadi ni wengi kweli-kweli!! Angalia hawa na wale wa Monduli!
ReplyDeleteKP is smart in his field bwana. Alichokosea ni kumwambia CLEAN ARUDI? Ila jamaa anamwandama sana huyu mshikaji,ambaye nae yuko gado ile mbaya kwa kuuchuna!! Hasemi. Na kama mnakumbuka, huyu jamaa sio rafiki wa waandishi, hivyo hata michuzi kumwandika ANAGWAYA! Alishasema, anaetaka kumhoji AANDIKE WARAKA, NAE ATAJIBU KWA MAANDISHI VILEVILE. Big up KP.
ReplyDeleteTehe!
SV
hivi wewe mdau wa kwanza una minyoo?maana unaropoka km umetoka kula funza
ReplyDeleteKwa kuwa mikataba mingi mibovu ilisainiwa wakati wa utawala wa Ben Mkapa, nadhani kuna haja ya rais huyu mstaafu kuuelezee umma yaliyojiri wakati wake. Nahisi asipofanya sasa, lawama zitazidi kumuandama kila siku. Ni kweli hakuna asiyekuwa mkosaji ila Mkapa aliifanya nchi kama shamba lake kwa kuruhusu mikataba mibovu kama ya songas na mingine ambayo leo tunaumia naye. Ni bora atuambie mapema wapi aliteleza ili tuone namna gani tunaweza kurekebisha hiyo mikataba badala ya kusubiri historia ije imuhukumu. Kwa mfano kinacho niuma mimi ni kwa nini gesi ichimbwe tanzania tuuziwe kwa bei ya soko la Dunia. Ni nani asiyejua kwamba kuwa na gesi ni kama kuwa na mafuta ya petrol? Nawakilisha
ReplyDeletemimi nadhani jamaa kaamua kua body guard wa koffi annan manake yuko beneti kama kaahidiwa u-ban ki moon mbeleni!!
ReplyDeleteKP kutoomba msamaha kwa PM wetu ni kama kaugonjwa ka henia kanakopotea halafu ghafla kanaibuka wakati umeanza kusahau na kupiga tikitaka uwanjani!
ReplyDeleteWewe dogo Masoud kazi nzuri lakini usifikiri tumesahau, bado una hako kagonjwa tena katazidi wakati wa kiwinta, omba msamaha hata kwa kujichora na lips zako kubwa ukijiliza machozi ya mamba tutakuelewa, vinginevyo henia itasimama kwenye utumbo mwembaba!
Anon unaejiita maba0 niko chini ya miguu yako ila usijelaumu nakuchungulia wala usiniulize natafuta nini huko chini ya miguu yako, mi nalia hapa kwa uchungu naungama mimi niekutenda dhambi wewe na jirani yako. haya satisfied???....
ReplyDeleteSasa zamu yako uniombe radhi kwa kuongea matusi, neno la pili baada ya neno Kp unamaana gani? jamani muwe waangalifu jifunzeni lugha Tauria mnapoongea bila kujijua mtajatukana? shauri zenu mi simo
kama wewe ndiye kp;
ReplyDeleteMwombe msamaha PM sio mimi.
Pili wewe ndie unatakiwa kurudi shule. Neno KUTOOMBA sio tusi, tusi ni hilo neno minus one O (na hata hivyo inategemea limetumikaje ili kuitwa tusi)upo hapo msanii?
Kumbuka kiwinta huja na kutoweka mshikaji!
RUDISHA FEDHA ZA BOT
ReplyDeleteTimu imewaomba wananchi wanaoelewa chochote kuhusiana na sakata hilo, waendelee kutoa taarifa moja kwa moja, kwa kupitia namba maalum ilizotoa ambazo ni 0713 223 362, 0784 213 928 na 0784 785 722.
Miongoni mwa wanaounda timu hiyo iliyotokana na ubadhirifu ulioainishwa na Mkaguzi aliyekodioshwa na Serikali, Ernst & Young ni Kamanda wa Jeshi la Polisi nchini, Said Mwema, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. Johnson Mwanyika, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, PCCB
KP juu sana baba. Usiwe na ujasiri wa kifisadi kama hao wanaojipendekeza kwa Wakubwa bila mpango. huyo mpambe anayedai uombe msamaha mbona WAKUJA hivyo. siku hizi hatuna hizo DOGO na ndio maana hata mwenyewe PM katulia ila wewe mpambe ndio unahangaika..kaa nalo rohoni hilo.
ReplyDeleteALUTA KONTINUA KP
ALUTA KONTINUA MICHUZI