Home
         Unlabelled
      
kuku kwa mrija
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 MichuziBlogV2
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi acha mizinguo,unasema kama balaza ushatangaza kwani wewe ndiyo JK?
ReplyDeleteHaaaaaaaahkaaaa! leo nimecheka sana!!!!mweee!!!!! mkuu baada ya kututangazia mawaziri wetu naona mzee unakula kuku kwa mrija hapo Lagema de list Zenj kama sikosei maana hivyo vigali haviko kila hotel.
ReplyDeleteMweeeee lakini wewe Bro nadhani ni miongoni mwa mafisadi tunaowasaka inakuwaje unajipongeza namna hiyo!!!!!!tena peke yako bila hata my waifu wako??
Lakini acha yote mimi nakupa big up! sana kwa speed ya jana chap chap matokeo tuliyapata bila kuchelewa.
naomba usiibanie hii kaka.
Big up! Kakangu Michu hakuna dunia mbili dunia ni hii baba tanua tuu upate cha kuja wasimulia wajukuu zako muda ukiisha ndo hivyo tena ila Adhana hapo ilikua ishatoka au bado mana naona upo kwa raha zako hapo kwenu hugombwi,utacharazwa bakora! shauri lako
ReplyDeleteMambo ya BOT hayo kaka..mijihela ya EPA!!!!!!!
ReplyDeleteKaka kaka michu unanipa wasi wasi unajua wewe mambo yako kama 007 James Bond uko simple ila una enjoy life alafu kizuri zaidi kila sehemu unaingia hadi ikulu, najua sio fisadi ila unakula hela za mafisadi bila wao kujua hahaha big up brother!Una kadamu ka Bibi Kalembwana nini ?
ReplyDeleteKwani ufisadi una kabila,lugha ama dini au hata jinsia!!? Nimekushtukia Michu nawe ni FISADI wa STAREHE.. ona unavyotumbua miraha ya kitalii.. mweee uminiacha domo wazi, wacha nizuuze kinywa ....(dRU)
ReplyDeleteNimekuona mjomba na ndaba yako, siyo mchezo bwana kiatu hicho ha h ah ha haaaa!!Hakina vumbi wal tope kweli Bongo tambarare kwa sana.
ReplyDeletemichuzi naona umetoka out na nguo za michezo,kwani wanacheza timu gani hapo?
ReplyDeletehutu tu raba tutakuwa tunanuka maana naona ni mwendo wa no sox!
ReplyDeleteusiibanie hii michuzi!
Wewe kaka Michu, sasa naona wewe kutanua kwako ni disiplini...au kwako ufisadi unaanza kuwa uzoefu mshikaji....naona pia hako ka-tisheti kako ka damuati kanaanza kuwa disiplini ya kigaga pia...
ReplyDeleteHivi we michu una mkee, maana kwenye minuso yote unamuacha mama nyumbani... sasa itabidi tuchonge hapa...tuwekee picha ya shemeji hapa sio mambo ya MIKONOZZZ na kufisadi kipeke yako peke yako haifai namna hii...Bro
ReplyDeleteJamani wadau megundua haka ka tshirt ka njano kanataka kum mwakyembe(richmond) kale kauka nikuvae ka michuzi? kanajitoa toa taratibu maana naanza kukiona ona
ReplyDelete