Home
Unlabelled
libeneke la pasaka dallas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Big up guys and big up Sugu. Nice to c u around. XXXXXXXXXXXXXX
ReplyDeleteYap yap sio mchezo D town!!!najua hapo itakuwa ni burudani ya maana sana kwenye stage siku hiyo.itabidi Sugu atupe show ya nguvu kama alivyofanya Houston mwaka jana...i was there in the house and i saw it!!
ReplyDeleteGO! GO! GO! DALLAS!!!C YA'LL THERE!SUGU NAJUA HUKUNIKUMBUKI MWANANGU,MARA YA MWISHO TULIKUTANA ARUSHA KWENYE SHOW YAKO RICKS CLUB.LAZIMA NIJE KUKUMBUKA ENZI NA PLEASE PLAYLIST YAKO IWE NA MAWE YA ZAMANI ZAMANI KAMA MAMBO YA FEDHA,MAKINI NA FANI,MIKONONI MWA POLISI N.K...
ReplyDeletehaina noma wazee.mademu watakuwepo wa kumwaga???!!!
ReplyDeleteandrew kusaga nakuona kaka.
ReplyDeleteMr2 wapi Dolasol?!Mnaikumbka hii?
ReplyDelete"Daaar,Dsm,semaa ah Daresalaam!"
Hii cd ninayo mpaka leo na daily naibonda kwenye ndinga yangu.Fanyeni mje na huku Canada,kuna wabongo wakutosha tu mtapata support ya nguvu!Pia kuna tamasha kubwa la kimataifa linaitwa Afrofest,wasanii wachovu kibao wanakuja kila mwaka kutoka Africa kushiriki.Tunashangaa wasanii wa Bongo hatuwaoni wakati kuna wakali!
Mdau Toronto
DALLAS IS BACK!!!!!!!!!
ReplyDeletewee 2Proud sasa hebu punguza huo mwili.unene hauna mpango zaidi maradhi tu baba!
ReplyDelete