Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Big up guys and big up Sugu. Nice to c u around. XXXXXXXXXXXXXX

    ReplyDelete
  2. Yap yap sio mchezo D town!!!najua hapo itakuwa ni burudani ya maana sana kwenye stage siku hiyo.itabidi Sugu atupe show ya nguvu kama alivyofanya Houston mwaka jana...i was there in the house and i saw it!!

    ReplyDelete
  3. GO! GO! GO! DALLAS!!!C YA'LL THERE!SUGU NAJUA HUKUNIKUMBUKI MWANANGU,MARA YA MWISHO TULIKUTANA ARUSHA KWENYE SHOW YAKO RICKS CLUB.LAZIMA NIJE KUKUMBUKA ENZI NA PLEASE PLAYLIST YAKO IWE NA MAWE YA ZAMANI ZAMANI KAMA MAMBO YA FEDHA,MAKINI NA FANI,MIKONONI MWA POLISI N.K...

    ReplyDelete
  4. haina noma wazee.mademu watakuwepo wa kumwaga???!!!

    ReplyDelete
  5. andrew kusaga nakuona kaka.

    ReplyDelete
  6. Mr2 wapi Dolasol?!Mnaikumbka hii?

    "Daaar,Dsm,semaa ah Daresalaam!"

    Hii cd ninayo mpaka leo na daily naibonda kwenye ndinga yangu.Fanyeni mje na huku Canada,kuna wabongo wakutosha tu mtapata support ya nguvu!Pia kuna tamasha kubwa la kimataifa linaitwa Afrofest,wasanii wachovu kibao wanakuja kila mwaka kutoka Africa kushiriki.Tunashangaa wasanii wa Bongo hatuwaoni wakati kuna wakali!

    Mdau Toronto

    ReplyDelete
  7. DALLAS IS BACK!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. wee 2Proud sasa hebu punguza huo mwili.unene hauna mpango zaidi maradhi tu baba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...