Home
Unlabelled
mambo ya cnn
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tupake rangi moja ya daladala zetu halafu, tuweke ungo. Sisi wabongo tumebarikiwa ubunifu. Unajua ubaya wa bongo basi hilo hilo litatumiwa kusafirisha maji na mazao. Sasa kidogo inakuwa ngumu. Tutafika lakini tusikate tamaa...
ReplyDeleteHalafu maji matatizo basi kubwa hivyo tutaoshaje?
Wenu: Mkulima
Safari Bado ni Ndefu,
ReplyDelete-BooSt3D.
Itakua poa sana.Tutaweza kuona jinsi kina John Komba wanavyopanda kwenye majukwaa ya Chadema kufanya fujo kama kule Kiteto,Arusha huku mwela wakichekelea badala ya kutake actions!
ReplyDeletedu mjomba michuzi mimi nitafurahi kweli naitikia dua yako kwa nguvu AMIN AMIN AMIN maana ninavyo miss vipindi vya television haswa hao ze comedy , bambo, bishanga, jenguo na vyengine vingi tu du bora uanze kampeni tangu sasa MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDelete