inshaallah nasi siku moja tutakuwa na vitu kama hivi vya cnn wanavyotumia kukavia kampeni za uchaguzi marekani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tupake rangi moja ya daladala zetu halafu, tuweke ungo. Sisi wabongo tumebarikiwa ubunifu. Unajua ubaya wa bongo basi hilo hilo litatumiwa kusafirisha maji na mazao. Sasa kidogo inakuwa ngumu. Tutafika lakini tusikate tamaa...
    Halafu maji matatizo basi kubwa hivyo tutaoshaje?
    Wenu: Mkulima

    ReplyDelete
  2. Safari Bado ni Ndefu,
    -BooSt3D.

    ReplyDelete
  3. Itakua poa sana.Tutaweza kuona jinsi kina John Komba wanavyopanda kwenye majukwaa ya Chadema kufanya fujo kama kule Kiteto,Arusha huku mwela wakichekelea badala ya kutake actions!

    ReplyDelete
  4. du mjomba michuzi mimi nitafurahi kweli naitikia dua yako kwa nguvu AMIN AMIN AMIN maana ninavyo miss vipindi vya television haswa hao ze comedy , bambo, bishanga, jenguo na vyengine vingi tu du bora uanze kampeni tangu sasa MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...