mpishi mkuu wa kampuni ya bia gaudence mkolwe akikagua timu wakati wa michuano inayoendelea ya kili super cup uwanja wa ndani wa neshno. mdau huyu anasifika duniani kwa kuwa ile inayoitwa kwa king'eng'e brewery legend, na inasemekana wataalamu kama yeye wapo watano tu barani afrika. mengi zaidi kuhusu harakati za kilimanjaro lager nenda www.kilitimetz.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamani mpishi utamjua tuu,lazima ajiachie anenepe na kitambi na nini!!shavu,kula kula huko,

    ReplyDelete
  2. Moody Mbwana nakuona unaendeleza kikapu. big up holla atcha boi
    magoha
    dallas, TX

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...