waziri kiongozi wa zenj mh. shamsi vuai nahoda akiwa katika picha na wanamichezo bora waliofanya vyema mwaka jana na kutuzwa na chama cha waandishi wa michezo -taswa - hoteli ya landmark juzi usiku. kulia kwake ama watatu shoto ni naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. joel bendera, mwenyekiti wa taswa boniface wambura na mwanamichezo bora wa kike kwa ujumla josephine. shoto kwake ama tatu kulia ni mchezaji bora wa mwaka 2007 mwanaume martin sule akifuatiwa na bingwa wa kick bocking japhet kaseba na mcheza soka kudra omary

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BONIFACE, HONGERA SANA KWA KUENDELEZA LIBENEKE YA TASWA. NAKUMBUKA KILIANZSIHWA KAMA MZAHA VILE NA HADI SASA KUWA MOJA KATI VYOMBOI MUHIMU VYA KUINUA MICHEZO HAPO BONGO.
    KUNA MAMBO KIBAO YA MUHIMU YANAYOHITAJIKA KUFANYWA ILI KUIFANYA TASWA KUWA NA KAULI KWENYE MASUALA YA MICHEZO ILI KUISAIDIA NCHI YETU IONDEKANE KUWA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.
    NIKIPATA WASAA TUTAWASILIANA NAJUA WAPI NITAKUPATA USIWE NA WASIWASI MHESHIMIWA. KAZA BUTI

    ReplyDelete
  2. Hivi listis ya wanamichezo bora tunaweza kupata wapi, yaani ya tangu miaka ya 70 na 80?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...