Michuzi,
Naomba msaada kwenye tuta. Katika wale wanachama wa CCM tawi la Reading, kuna mshikaji wangu Maira ambaye tumepoteana muda mrefu toka Shycom 19-kweusi. Kama anasoma hii blogu yako au kama kuna mtu anaweza kunisaidia namna ya kumpata, naomba msaada.
mettyn@gmail.com

Hivi wewe 'mettyn@gmail.com' si ndiye yule Metty Nyang'oro (wa mizoga - enzi hizo lakini) mtangazaji wa redio one enzi hizo pamoja na mshikaji wako mchanganya rangi wa ITV Misanya Bingi? Kama ndio! Mambo vipi mkubwa, upo wapi kwa sasa? Dii longtime sana - Mzee wa NGOTO
ReplyDeleteukimtaka Maira uwezi kumkosa,he is reall a good man kama upo Uk yeye anishi Readings, sina namba yake lakini ni mtu wa watu, kila mtu ana mjua.Tafuta namba ya mtu yeyote ane kaa Readings muulizie baba Lisa...Goodluck!
ReplyDeleteMzee wa Ngoto,
ReplyDeleteKwa nini usimwandikie Metty kuthibithisha hayo yote kwenye email yake binafsi?
Mdau.
anony wa pili hapo juu,hivi umeelewa swali kweli!huyo jamaa hapo anahitaji contacts za huyo mlengwa sasa wewe hayo maelezo yako yoote ya nini? shida tunayo sie wengine kutoelewa maswali ndo maana twafeli mitihani,mambo yanaanza hivi hivi,afu hivi hapo paitwa readings au just reading?LOL SOMETIMES MNAZIDI SANA
ReplyDelete