jk akifurahia jambo na makamu wa rais dk ali mohamed shein na waziri mkuu mh. mizengo pinda baada ya kuhitimisha shughuli ya kupisha baraza jipya la mawaziri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. kwa wale wanaomkandia mh. Pinda mnakosea huyu jamaa ni handsome ana good smile jamani acheni roho za kwanini hasa wewe KP.

    ReplyDelete
  2. Nakusapoti anon hapo juu....kwanza kp haogopi???...Tazama hiyo listi yenyewe...SUMBAWAGA.....BAGAMOYO...PEMBA!!!!!

    ReplyDelete
  3. Mwacheni baby face

    ReplyDelete
  4. Kweli nyani haoni kundule. KP mwenyewe mbaya afu anasema wenzie. Nakuamini Misupu hutaiminya hii comment. Ndo maana twapenda blog yako

    ReplyDelete
  5. JK: Basi bwana wananitumia message kibao..oh JK umetumwaga tunashukuru...oh sijui nini..aaaah mimi wala sijibu!!! Tehetehee

    MP: Mimi namba yangu si hawana!!! hapo nikajua message lazima zije kwako mkuu...tehetehe

    SHEIN: Aaaah...mimi wananizalau wanajua sihusiki!!!!

    ReplyDelete
  6. Ni kweli watu wanampakazia PM wetu kuwa si handsome. Kwa ambaye amewahi kuwa naye karibu atakiri kuwa PM ni handsome.

    Kwenye hiyo picha inaelekea anayetoa huo mchapo hadi Shein kuvunjika mbavu ni Pinda. Waone wote JK na Shein wako hoi na huo mchapo wa Pinda. Hata wakati wa lowassa hakuna wakt walishaonekana wakiwa na furaha kiasi hicho. Huo ni upande wa pili wa PM wetu mpya. Kazi na Dawa.

    Bravo Pinda. Wapindishe kwelikweli ukiwavunja mbavu na kuwapa ukweli hapo hapo.

    ReplyDelete
  7. KP anacheza na moto. Atageuzwa muwa, taratiiiiibu watu wanatafuna. Hiyo chama imeenea, gusa Sumbawanga hapo lazima radi likuchangue, Bagamoyo hapo ndo usiseme utageuzwa kifuu, sasa hapo Pemba baba'ke lazima ukavue. Kudadadeki!! Maskhalla tu. Tunavihitaji hivyo vichwa vinginevyo nchi ilikuwa imechukuliwa na wahuni.

    ReplyDelete
  8. atazoea kidogo kidogo, unajua lazima mapozi ya uongozi, atajua kidogo kidogo, unajua wanasiasa waliozoea, wanapozi kikubwa kubwa.

    ReplyDelete
  9. Pinda: Unaambiwa shughuli haijaanza watu wametoa mimacho utafikiri mijusi imebanwa na mlango...nikasema hapa JK mwanangu itabidi ujikaushe kichizi, azawaizi Ikulu Ndogo patakuwa hapakaliki...
    JK: Uliona eeeh, kudadadeki ngoma zina usongo na mimi kisa nimezipiga chini...Ila nilikomaa kichizi unaambiwa!
    Shein: Ayaaa, pale ilikuwa nomaaaaa, ila JK ulicheza kishua mtuwangu, we kichwa babaake...

    ReplyDelete
  10. Kaka michu mimi nimefuatilia kiundani inasemekana baada ya kuapishwa PINDA watu walikunjwa sana lubisi kutoka BUKOBA kwenye IKULU ndogo ya dodoma kwani PINDA na TIBAIGANA wameshea mama kwani wewe huwaoni wanavyo fanana, wote ma Handsome. Sasa hivi utasikia TIBAIGANA balozi.

    ReplyDelete
  11. Jamani, ni vema mtu kujua kuwa Wasanii tuko kibao utofauti unaonekana katika jinsi tunavyoutumia usanii wetu kwa ajili ya kujibomoa au kujijenga.

    Kwa kweli kitendo cha juzi cha kumtumelaizi- kidenishi PM wetu kimempandisha graph KP Masoud kutoka 90% hadi 5%

    Na alinichecheta kufuatilia kuinyaka resepsheni yake iliyo katika rekodi za buku la ginesi.

    Nilichokikuta, nilimnyanyulia kofia maana kweli ni mzuri usipime! Amepambwa kwa lips zake za pinki kama naniino ya pink pink!
    Aidha alinivutia sana pia kwa macho yake kama vile yametanakishiwa kwa kazi ya wanyama wadogo wa Mathare wanaopaa, ok kumbe wanaitwa Nairobi flaiz lakini nilipewa tipu toka ndani ya FM kuwa ni kwa ajili ya misosi yake ya nguvu anayoikandamiza mara kwa mara kwa jina Delta-9-Tetrahydrocannabinol aka THC!
    Unaweza kumwona alivyotoka mchicha huko BC.

    Kaka Michuzi hii inatoka hivi hivi bila kuiminya maana anapostahili sifa mtu husifiwa.

    ReplyDelete
  12. kaka michu siku hizi tanzania dawa ni kucheka kupunguza mambo mengi.

    ReplyDelete
  13. hahah
    yani unataka kuniambia bodyguard hana bandama au maana hacheki kazi nyingine bwana tabuu kweli kweli! rais akicheka we unune!hahaha safi sana michuzi

    ReplyDelete
  14. Hapa hakuna uzuri...kwani kuna mtu anakuja kuchumbia. Mbona huyo mnayemuita handsome ametufisadi! Kwa taarifa yenu - ukitaka kujua kuwa mtu ni handsome, unaangalia symmetry ya mwili wake kuanzia utosini hadi miguuni. Je wote wanaokandia Mh. Pinda walifanya hizo hesabu kabla ya kuandika maoni?

    ReplyDelete
  15. jk alipokutana na wisley snapes

    ReplyDelete
  16. Ni lazima wachekelee bwana wee!!!
    Mh, how are they going to screw up Tz this time without us knowing(founding out soon)

    ReplyDelete
  17. nimeona kitu hapa! hebu angalieni vidole vya bw.pinda: hizo 'knuckles' zinaonesha kuwa ni mtu wa shughuli, mazoezi, karate, mi-push ups kibao, kubonda punching bag kwa sana! au naongopa jamani! basi kama ndivyo huyu jamaa si mchezo: akisema kasema,ubishi na ubishoo peleka kwingine, hapa kazi kazi tu!usiombe akakukunja utaomba ukutane na tyson(wa sasa!). big up mr pm!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...