HABARI ZINASEMA KWAMBA MSANII MAARUFU WA BONGE FLEVA JOHN MJEMA, ALIYEWIKA NA VIBAO KAMA 'MIMI SIO MWIZI' NA 'WACHUMBA 30' AKIWA NA KUNDI LA MAMBO POA AMEFARIKI DUNIA.
HABARI ZISIZOTHIBITISHWA ZINASEMA MAREHEMU AMEJIUA KWA KUJICHOMA KISU KWA SABABU AMBAZO HAZIJULIKANI. MSANII MWENZAKE WA MAMBO POA STEVE 2K NAYE ALIKUFA KWA KUCHOMWA KISU
HABARI HIZO ZINASEMA MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU SEHEMU ZA MTONI KIJICHI, DAR. TUTAENDELEA KUFAHAMISHANA ZAIDI KADRI HABARI ZITAVYOZIDI KUTUJIA. HABARI ZINGINE PAMOJA NA VIDEO YAKE ZINAWEZA KUONEKANA www.bongocelebrity.com
BONGE FLEVA!!!????
ReplyDeleteAh jamani.... duu... mwanamuziki kaniuma huyu...
ReplyDelete