naibu waziri wa miundombinu dk. milton mahanga (pili kulia) akikagua ujenzi wa kivuko kipya ambacho kitasaidia kuvusha wadau kwenda na kutoka kigamboni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. KAKA HEBU NIPE HII HABARI UZUURI KAKA

    ReplyDelete
  2. yaani jamani mlikuwa wapi?????? i hope mtaimaliza shuguli.kweli mungu awabariki. mlalahoi.

    ReplyDelete
  3. Thank god!! Sasa trip za kigamboni zitaongeka!

    ReplyDelete
  4. Mhhh! Jamani watanzania kwa Vitambi hatujambo!

    ReplyDelete
  5. Michuzi kuna wakati tulisikiaga serikali inataka kuingia ubia na NSSF wajenge daraja la kuunganisha kigamboni. Liliishia wapi hilo wazo,au hela ndo hizo za EPA na Richmond ambazo ilibidi zijenge hilo daraja?

    ReplyDelete
  6. inaelekea matatizo ya miundombinu yako kwenye vyuo vingi africa sio tanzania peke yake

    http://news.bbc.co.uk/2/shared/spl/hi/picture_gallery/08/africa_nigerian_campus_life_/html/1.stm

    ReplyDelete
  7. kama hiki kivuko kinatengenezwa na wenyewe wabongo basi itakuwa ni nanga ya kutuzamisha mhn mi yangu macho.............Ni mitaa gani ndio kuna hiki kiwanda jamani!!!!!!!!!.

    ReplyDelete
  8. wewe anon wa 26, 12.04 Am wacha ushamba huo, mbona babu zako hawazami na majahazi yao huko Pemba? Na tangu enzi na enzi majahazi yalikuwa yanatengenezwa na nani? Si hao mababu zako na yalikuwa yakifanya safari mpaka India. Waafrika mjidharau wenyewe wengine wawafanye nini? Ndio maana hatuendelei maana watu wa dizaini yenu mnaoabudu wazungu hamuwezi nunua chochote cha TZ hata kama kiwe kizuri simply kwa kuamini kuwa cha mzungu ndio kizuri. Hivyo hivyo pole pole tutafika kwanza hapo naona wana assembly tu kisha wanaweka engine walizoagiza kutoka nje. Kuna mahali kuna fundi kiboko wa machines, mzungu alikuwa haoni ndani lakini anakula nyuma ya mgongo wake kwa kulipwa mshahara mkubwa kwa sababu tu ya rangi ya ngozi yake. Fundi yule alivyoacha kazi ili mzungu nae aondoke maana kuumbuka alikuona kule kuko njiani!

    ReplyDelete
  9. NYIE TENGENEZENI HUO MTAMBO..CHAKUZINGATIA ZAIDI NI "..SAFETY.." "..NA LOW COST.." (GO GREEN)..THAT'S ALL U NEED.

    ReplyDelete
  10. hapo ni hilo tambi tuu mkuu na sina mengi leo ila mazoezi ni muhimu na kupunguza kula ndio ujumbe wa leo
    mdau from beverly hills!

    ReplyDelete
  11. mimi ni mwana kigamboni. si jambo dogo, kwanza ni kumshukuru mungu maana atanirudisha nyumbani kwetu kigamboni. maana nilihama kwa ajili ya kuhofia pantoni nami naipenda kazi yangu. nadhani sasa hatutakuwa na shida tena, kama kazi sasa Serikari ndo imefanya kazi kwa watu wakigamboni. but nauli msiongeze mkiongeza tu ndo hatutarudi makwetu jamani tuoneeni huruma ili turudi makwetu. kuna siku niliwahi kuchelewa job kwa ajili ya pantoni bosi wangu hakunielewa akaniambia pantoni ni non of his business what he want ni mimi kuwahi either kama nitazunguka mbagala au nitaogelea. Likianza hilo boti chonde chonde tunaiomba serikali ifanye kwanza test bila watu kuepusha balaa. then ndo sisi wenye pantoni letu wana kigamboni tulipande, na masaa ya kazi yawe 24hrs ila baada ya saa sana likae upende mmoja saa 1 ili kupunguza gharama za mafuta.

    ReplyDelete
  12. Anoy. Monday, February 25, 2008 9:14:00 PM EAT
    Thanks for link inasikitisha na kwetu ipo hiyo. kitu ambacho kinanifanya nijione fisadi hapa maana nalipa alot for apt na shule damn. Sasa hao waheshimiwa matumbo....dah kazi kweli kweli
    Londoner

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...