Naike Moshi was raised in Tanzania. She finished her secondary education at Loyola High School. She decided to to go to college! Naike had bigger dreams for herself. She moved to the United States to pursue her studies and dreams!. In 2005, she graduated at Pellissippi State Community college with an Associate Applied Degree in Computer Accounting.

Naike recieved honors and awards for All USA academic team, Who's Whos among students and African American Excellence award. She is expecting her bachelors degrees in Accounting and Human Resource in May 2008!


Inspite of all this achievement, Naike has a true passion in modelling and Entertainment industry in general. She started to pursue modelling and has worked with talented photographers and has lots projects coming up.


During her free time, Naike mentors children of promise whose one or both parents are in prison. Naike believes determination, passion and hardwork will take u places.

Here is the link for the awards recieved in school
http://www.pstcc.edu/community_relations/events/05/saw05.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. dada you're sooo cute na hongera kwa hizo academic credential ulizo achieve..lakini hilo la supa model mmmmhhh sijui mwenzangu maana to me u dont look like one,btw uko state gani tuwasiliane!

    ReplyDelete
  2. Mie sio mtu wa madongo ila naungana na anony hapo juu.kwa academic credential namfagilia ila hilo la super model uongo!! labda afanye mazoezi manake hilo tumbo sio la super model...anyway, labda kioo chake kinamuonyesha kuwa ni super model..kwi kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  3. mhh! hii ni kama Chibiriti bin Chibatari ya kule Maeneo!

    ReplyDelete
  4. Nyie kweli mahayawani...Kama mnaweza kumuita yule Cynthia masasi super modo basi huyu pia anaweza kua super modo. Kha watanzania hamuachi hivi eh?...Ever heard of Plus size modo? Kwani kila siku sio lazima uwe size 2 kua super modo. Acheni nyie. Stop hatin. She is a beauty with a brain. Smh

    ReplyDelete
  5. salamu kwa wabinti wote wanaojivunia vazi la khanga popote pale, maana khanga is unique.

    ReplyDelete
  6. fagilia mademu wote wa kibongo wanaojivunia khanga jamani.

    ReplyDelete
  7. its too comical the way you try to explained about yourself. It make me wonder how you communicate with those people in your college. Your english seems to be straight translation from kichaga to english, which can turn to be fatique in most cases. i dont intend to downplay your achievements although the way you explained about yourself has put me off. Next use swahili...at the end it just michuzi blog where everyboy speaks swahili.

    Mdau dogo,
    Scots

    ReplyDelete
  8. Hongera kwa kuwa na determination na maisha yako binafsi....! labda modos wengine watakua wanafuata nyayo zako. Picha hizo zinanikumbusha pale Tabora....kuelekea Mpanda kwa Train,....Idumu reli ya UHURU !

    ReplyDelete
  9. Labda plus size model au facial model ...jaribisha huko ...kama kweli unania hiyo....Usije ukapoteza muda kuwa model

    Your height your body shape kweli sio tunakukandia lakini ...don't waste your time...wewe mzuri lakini kwa modeling nooo...Uko mfupi


    Michuzi usinitupie hii comment ni heri ukweli aelewe kuliko ...check picha yake na hao walimu wake sijui...she is too short...keep ypur education and don't quit your day job

    ReplyDelete
  10. Honey, you are too short to be a Super Model! Nice photos.

    ReplyDelete
  11. You are not serious!!!

    ReplyDelete
  12. Congrats gal on ur academic achievements, u beautiful,try to work out as much n loose the tummy and let ur cheek bones come out, u will b good for modelling.... aight!!!!1

    ReplyDelete
  13. Kwako Naike Moshi:

    -Hongera kwa award. Lakini mbona hatuoni wametaja GPA ya ngapi? Kwenye hiyo link naona hata wenye GPA ya 3.0 wamo kwenye orodha ya wanafunzi wenye maksi zilizotukuka. Mbona maksi za kawaida humu Mzumbe,UDSM,Tumaini,St.Augustine n.k
    -Hicho chuo kimeanza nipa utatata,au ndo bembeleza bora twende?
    -Tatu na mwisho, embu fanya tizi kidogo,kitambi kishuke.

    ReplyDelete
  14. jamani nyie wabongo kwa mipasho mwenzenu kajitambulisha lakini nyie mmefanya ni topic jamani hamna dogo?

    ReplyDelete
  15. mimi nilikua namwangalia huyu binti nikamuona ni mzuri sana,ila kuna kitu kinamuangusha(kinakosekana) nikilinganisha wale vipusa niliowazoea kuwaona. ndipo dondoo za wadau zikanitanabahisha kua labda kweli urefu ndio unamponza angekua na urefu wa kutosha angependeza zaidi. ila si mbaya kama ataendelea kujiweka vizuri, kwa ajili ya kupata mume mzuri mwenye urefu,ili aje kupata watoto wazuri zaidi ishallah.

    ReplyDelete
  16. I think Naike is cute and smart, and we all need to credit her for that.
    Being beautiful comes form inside and not form size 2 put up by modelling agencies.
    Takes a lot for her to reveal herself to the world like that, im sure you all up there CANT do it.

    Naike, if you have a dream, go girl!!!! Sky is your limit.

    ReplyDelete
  17. Gosh talk about cultural imperialism, waswahili kwa kuiga ndio wenyewe. It's getting so repetitive "so and so has brains, shows off her body as an object, and to justify this she helps children..."

    ReplyDelete
  18. naike umependeza na usivunjike moyo kwa maneno ya watu..
    modeling ina sector kibao naamini utafika mbali...
    hongera mamii
    fatma

    ReplyDelete
  19. michicha dili hapo ni hiyo kanga tu!!aswa sisi tunao ishi uku kwa mda mrefu tumerimisi sana,kuliona hilo vazi!!lakini kwa hayo mengini mimi siju!ila tu ushauri wangu wa bule,atafute mchumba tu,kwani atapoteza muda na umri u nazidi kusonga mbele!!,, MUKAMA~SEOUL

    ReplyDelete
  20. naike umependeza and u can do it
    modeling ina sector nyingi overseas kuliko kwetu...usijali maneno ya watu songa mbele..
    focus on da future
    fatma

    ReplyDelete
  21. Mdau dogo, Scot
    You can not be serious!!!!! kweli nyani haoni kundule!!! wewe ndio wakubondea english ya mwenzio!! umeiona hiyo english yako mwenyewe.
    Tafuta kitabu cha grammar ujifunze kwanze tense ndio uanze kuandika upya

    ReplyDelete
  22. Kama khanga yako inavyosema, mimi nadhani ujaribu kujisogeza karibu na Mwenyezi Mungu akufunulie mpango wa maisha yako sawa sawa na mapenzi yake

    Picha ni za kupendeza na nakutakia kila la kheri na shughuli zako zote

    ReplyDelete
  23. Hii link uliyotuletea mbona ya mwaka 2005? Yaani toka 2005 bado unafanya Associate tu? Halafu wanasema kuwa "formerly from Tanzania and now from Knoxville,TN" naona umekamata mtu hapo. Hii angalia labda kwenye Plus Size huko manake shape na tumbo hilo bado. Ingia gym achane na Fries and Fried Chicken

    ReplyDelete
  24. For some reason, I couldn't stay out of this one.

    Folks in here need to be more civil, I mean Mamaa wants exposure, and constructive criticism, not kupigana madongo na kukatishana tamaa. Besides she pointed out that she has been involved in some PROJECTS coming up, so she is already somewhat in the industry.

    Do your thing mshkaji wangu, ooh and good luck.

    ReplyDelete
  25. wewe binti unaaminisha nini kukanyaga rail ways dont take a risk always bongo is bongo

    ReplyDelete
  26. What's Fat?.. Acheni jamani. Mnambiwa beauty comes with every size and shape. Asilimia kubwa mnao mponda huyu demu ni mademu pia. Sasa msianze kumponda huyu binti kujipa ujiko nyie. Kwani huyu binti ni mzuri kwa sura na umbo. I bet nyie hapa ndugu zenu wanene kushinda huyu demu, kwa nn msiende kuwambia wao wapunguze unene huh?...acheni jama....Lakini watanzania siku zoote mekalia kiubaladhuli mnapend akuponda wenzenu na hamtaki wenzenu wafike popote. Mshazoea kuwaona kina beyonce, rihanna, ashanti, mariah na fake body zao basi mnazani watanzania pia kutakua na fakeness?...basi kama ur real african jueni watanzania wanapenda kua curves sio kua so bony hata kuvaa nguo huonekani. Jiulizeni ...DADA ZENU WAZURI?...DADA/MAMA ZENU WEMBAMBA?...Tokeni hapa kafanyeni kazi. Atleast she is doing something with her life sio kama half of africans mnao kaa huko kutafuta baby mamaz, na baby daddy kila siku. Stop hating Man. Leave the grl alone. Don't hate just cuz she is smart and beautiful.

    ReplyDelete
  27. Hongera binti.Endelea na kipaji ipo siku utacheka tu na juhudi zako.Na huyo anaejiita MDAU DOGO anachokosoa nini kuhusu English yako.yeye mwenyewe tu sentence ya pili kachapia badala ya it makes yeye kaweka it make.Sasa sijui kijijini kwao Gordon Brown ndio wanaongea na kuandika hivyo.

    ReplyDelete
  28. Ana dream ya kuwa model huko kijijini...angekua hapa mjini NY City angejua right away kuwa hiyo dream aiache tu........

    jamani mnaosema madonge msiwe wanafiki...ndio wale wanaenda kuimba american idol sauti hawana lakini huko nyumbani kwao wamekalia kuwadanganya..you can sing ..you can sing....Bora umwambie ukweli na pia angalia hapa USA watakutapeli hiyo field ina wajanja wengi...watakudanganya kuwa agent wako kumbe huendi popote...honesty you are too short for that career...labda kama hao wanaosema you can be a body part model.. yeah unasura nzui

    ReplyDelete
  29. fatma baby gal nyie ndio wabaya sana.

    Mtu kuambiwa ukweli sio kuwa ni majungu. Huyu msichana ni mzuri sana tu ila ujue modeling ni career pia. Na sio mzuri wa kufanya modeling.

    Watu wakisema ni mfupi hawajakosea. Watu wakisema ni mnene sio kuwa ni obesity huyu bali ni overweight huyu.Calculate her weight and her height = BMI muulize ni ngapi?

    Macho hayaambiwi tazama ni mzuri sana kwanza kule upareni wanaita idhunya...pretty girl with a round body lakini kwenye career hiyo hawezi

    ReplyDelete
  30. zidumu khanga zidumu, idumu tanzania idumu, hongera binti.

    ReplyDelete
  31. kweli naugana na wewe mdau uliyetoa maoni on Thursday, February 7, 2008 1:50:00 PM kuhusu Scot kuponda ENGLISH ya huyo binti. Yeye kamwambia mwenzie atumie kiswahili kwenye blog hii na yeye kumbe katumia lugha gani? English yake vile vile hai make sense as such. Ingekua ametumia swahili ningemwelewa.

    ReplyDelete
  32. i honestly believe that we all have avenues in life we are destined to occupy. Naike, not all dreams are necessarily the most suited for us. The ordinary people choose to shut these so called extra dreams and make their own dreams based on what they are capable of doing.Risk-takers on the other hand pursue dreams regardless of their abilities and are sometimes forced to conform who they really are into who they want to be. Good luck with modelling. However, i would not like to see a smart young lady like you waste all that academic success. As a friend and a loyolite, i encourage you to take modeling as a hobby and pursue greater heights in academia. You are a sweatheart in real life..make smart choices!!
    tupo pamoja!!

    ReplyDelete
  33. huyu ni supa model. kila culture na society ina supa model wake na kwa vigezo vyake. wazungu wengi wapo kama pilipili nyembamba na hawavutii kabisa. tunapenda mwanamke anone kidogo ukishika au kion paja na wowo linatikisa uchumi unasikia raha. acheni kuiga NEW YORK hamna lolote biashara tu. watoto wazuri morogoro mjini kasolo bahali au kule kigulunyembe na mlandizi.

    ReplyDelete
  34. naike ni model na ana pendeza mno na kanga zake!
    nyie mlie tu hata flavor flavor alimchagua deliciuos akaacha fito.

    ReplyDelete
  35. jamani watu mnachekesha ile mbaya! eti plus size model! hivi mnajua vipimo vya plus size? Halafu mnajua super model anaitwa KATE MOSS na Tila Tequila, ana urefu kiasi gani?Kuhusu weight,hivi kati ya watu wanene na yeye atasimama? labda anahitaji kutoni tuu! Muache kuandika vitu ambavyo hamjaresearch!!!!!U gotta fucking kidding me!
    Naike, msichana mzuri na akili, anapenda kusaidia watu and will go places!
    DON'T HATE, CONGRATULATE!!!!
    luv u

    ReplyDelete
  36. Dada yangu kweli mola amekujalia kila kitu,yaani ni mzuri sana hivi umeolewa?na kama ndio basi mungu amempendelea mumeo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...