victoria na kiongozi mplei wakimzawadia olivia lugeleka wa excel media tuzo ya mafanikio

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Aisee huyo mdada aliyevaa gauni la njano ni Mzuri Balaa!!

    Personally I would give anything to look like that!!

    Yaani uko Boomba kweli ndugu yangu.
    I just wanted you to know that.

    Hawa ndio ma-natural born beaties na models.

    Yaani ningekuwa mwanaume lazma ningerekebisha hapo!!

    Mungu akubariki sana Dadada.

    ReplyDelete
  2. duuuuuuuuuuuh kabula ndani ya michuzi

    ReplyDelete
  3. Huyo dada mwenye blauzi nyeusi mashallah,Mungu kamjalia mtoto anaonekana mtamu sana,halafu anavutia si mchezo na ana mwanya kwa mbaliiii.Mtoto umebarikiwa,u r really gorgeous.

    ReplyDelete
  4. Mpeli and redds, I would like to congratulate you on the choice of your ambassadors, kwa kweli huwa mnachukua mabinti ambao wana sifa ya kuwa MISS TZ. kasoro mwaka juzi hapana.

    naomba nishauri kitu ambacho kwa upeo na uzoefu wangu mdogo nahisi inahitajika kumpa training Victoria ya posture kwenye events tofauti tofauti. Hata pose zake kwenye picha ukiangalia utaona she needs to be groomed. Jokate alikuwa ana in born qualities ndio sababu she coped very well and very soon after. Kwa hiyo wadau wa blog hii... nisaidieni kama nakosea kusema hivyo, najua wapo watasema ovyo na wapo watasaidia kujenga... hata wakati Voda wanaweka picha zao kuwatangaza hawa mabinti, nilitamani sana binti huyu ndie awe Miss Tz wetu, lakini maybe the judges know better... ila usemi mpya from Mrs. Anne Kilango Malecela.... ALUTA CONTINUA

    ReplyDelete
  5. Kweli jamani hatujafa tukaumbika.....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...