Home
Unlabelled
olivia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee huyo mdada aliyevaa gauni la njano ni Mzuri Balaa!!
ReplyDeletePersonally I would give anything to look like that!!
Yaani uko Boomba kweli ndugu yangu.
I just wanted you to know that.
Hawa ndio ma-natural born beaties na models.
Yaani ningekuwa mwanaume lazma ningerekebisha hapo!!
Mungu akubariki sana Dadada.
duuuuuuuuuuuh kabula ndani ya michuzi
ReplyDeleteHuyo dada mwenye blauzi nyeusi mashallah,Mungu kamjalia mtoto anaonekana mtamu sana,halafu anavutia si mchezo na ana mwanya kwa mbaliiii.Mtoto umebarikiwa,u r really gorgeous.
ReplyDeleteMpeli and redds, I would like to congratulate you on the choice of your ambassadors, kwa kweli huwa mnachukua mabinti ambao wana sifa ya kuwa MISS TZ. kasoro mwaka juzi hapana.
ReplyDeletenaomba nishauri kitu ambacho kwa upeo na uzoefu wangu mdogo nahisi inahitajika kumpa training Victoria ya posture kwenye events tofauti tofauti. Hata pose zake kwenye picha ukiangalia utaona she needs to be groomed. Jokate alikuwa ana in born qualities ndio sababu she coped very well and very soon after. Kwa hiyo wadau wa blog hii... nisaidieni kama nakosea kusema hivyo, najua wapo watasema ovyo na wapo watasaidia kujenga... hata wakati Voda wanaweka picha zao kuwatangaza hawa mabinti, nilitamani sana binti huyu ndie awe Miss Tz wetu, lakini maybe the judges know better... ila usemi mpya from Mrs. Anne Kilango Malecela.... ALUTA CONTINUA
Kweli jamani hatujafa tukaumbika.....!
ReplyDelete